Pink is back. for those who, like me discovered her with "there you go", each new album was a new punch of adrenaline. remember hits like "comin up" and "I'm still a rock star" featuring her ex...
Hizi ni sheria, ni kama katiba ila haihitaji mchakoto mrefu na malumbano kama ya CDM na CCM na kwenye katiba mpya ya Tanzania. Hii haijaandikwa popote japo mwanaume unatakiwa kufahamu. Ni sheria...
Wakuu, Najua dunia ina mambo mengi magumu, mengine yanakatisha tamaa hadi watu wengine wanatamani kunywa sumu, kujiua, kufa ghafla au kufanya lolote ilimradi tu wapotee kwenye uso wa dunia! Mfano...
ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimejitokeza kwenu mnishaur mimi nimewahi kuwa mchumba binafsi nilimpenda na nikadhamilia kumuoa sasa tulidum kwa mda wa miezi minne cha ajabu...
INAUMA SANA CHEKI HII ,Unamnunulia demu CM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA !
Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamrushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako !
Huo ni Mwingiliano...
Matamanio ya wanaume kwa wanawake
1-Je umbo la mwanamke?
2-Je makalio ya mwanamke?
3-Je unene wa mwanamke?
4-Je umbo namba 8 la mwanamke?
5-Je matiti ya mwanamke?
6-Je lips za mwanamke?
7-Je...
Habari wana jamvi,kwa kweli kuna jambo mimi linanikera kwa kweli,kuna baadhi ya misamiati wanapenda sana kuitumia wapendanao nayo ni "UTANIKUMBUKA"na huu "KUMBUKA BABY TUMETOKA MBALI"sasa...
Habari zenu humu ndani...Na pia samahanini kwasababu hii stori ni ndefu kidogo
One week ago wkt natoka safari na gari yangu ndogo majira ya sa kumi na mbili jioni, kwa mbele nikaona Mark X nyeusi...
Am seriously looking for a girl for engaged with am (24yrs old) per suing my studies in certain university in the country?
Even though beg of your advice if it's right or wrong decision to be...
hello jf members
Kwa mtazamo wangu ni kwamba wanaoishi bila kufunga ndoa wanafuraha na amani kwani kila mtu anajitahidi kutokumuudhi mwenzake ili wasiachane
kuliko wale waliopo kwenye ndoa...
''It hurts to love someone and not be loved in return. But what is more painful is to love someone and never find the courage to let that person know how u feel, and then regret it''
''maybe...
Mwenye sura hiyo ni mwanamke. Ninaamini umeshawahi kukutana na sura kama hiyo mahali na kama bado, huenda utakuja kukutana nayo. Kama ni hivyo, hebu soma kidogo kuhusu haiba za mtu mwenye sura...
Wanajf naomba ufafanuzi,kuna ulazima/umhimu wa mwanaume kumzidi miaka mwanamke' km ni yes miaka mingapi,mi mchumba wangu namzidi mwaka m1, nimuoe? Au atazeheka mapema kulko mie? Karibuni
Hii imemtokea binamu yangu, akiwa University alikuwa na boyfriend, mapenzi ya ujana na ahadi za kuona, ikatokea binamu alipata ujauzito, akiamini yuko kwenye strong relationship, akamumbia jamaa...
'Salaam wakuu...
...nimepanda kwenye jukwaa la Advice ili mnipe ushauri juu ya mada iliyopo hapo juu wakuu.Mada iliyopo ni inauliza swali lenye kuhitaji ushauri.
Mada hii wakuu nimeulizwa...
Naitwa Henry umri miaka 30, natafuta mchumba awe mke wangu baada ya kufahamiana awe mkristo,asiwe na mtoto hajawahi kuolewa umri kuanzia (22-30)umbo la kawaida asiwe mnene kabila/rangi yeyote mm...
Wanajamvi tafadhari naombeni mnijuze tabia za wanawake wa kimang'ati katika swala zima la mapenzi.Tafadhari nijuzeni,rafiki yangu anataka kuoa.............
1. I have a boyfriend but
he is not in the country.
2. The lecturer called me but i dint answer
3. Am not bleaching my skin, my
natural color is just coming out.
4. Am on my periods.
5. I went to...