Tabia za wanawake wa kimang'ati

Tabia za wanawake wa kimang'ati

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Wanajamvi tafadhari naombeni mnijuze tabia za wanawake wa kimang'ati katika swala zima la mapenzi.Tafadhari nijuzeni,rafiki yangu anataka kuoa.............
 
Sasa anaoa rafikiyo na unachunguza wewe! Utaenda kuishi nao ama utakuwa unachomeka mkuki?
Mimi ni mmang'ati na nadhani tabia zangu ni standard. Ila kujua tabia zetu unahitaji kuandaa documentary kabisa, wasiliana na national geographic wakupe mwongozo.
 
Ni kama za wa Barbaig, Wahadzabe, Wataturu, na Wasandawe. Click moja ya makabila hayo kwenye google, then fuatilia links za jf, tumeisha wazungumza sana humu!. Na huyo mchumbo wa jamaa yako. kama mwanamke huyo ni wa kijijini, ukae ukijua, amefanyiwa "ile kitu!".
Pasco.
 
Du!, mwanzo nilikuzimikia tuu hata kabla sijajua kabila!, baada ya kujua kabila, nimekuzimikia zaidi kabisa kiasi kwamba siku nikikuona, sitawesa sungumsa kitu!, utasangaa tuu mutu nakusika mkono na kuondoka nawe, hata tukufika huko, sitasungumsa kitu, utasiona tuu isara ni nini file nataka!.
Pasco
 
Hahahaha. Kumbe kabila nayo ana sehmu yake eeh? Utanitambua kwa kuvaa gome la mti pale kati tu.
Ngoja kwanza. Sasa ina maana hatutajadili kwanza zile ramani za tu-apartment kwanza? Nadhani itabidi tumalizane kwa email kabisa manake ukishazimia project haitaisha lol

Wee utakuwa ni lazima umechanganya kabila!, haiwezekani ukatanguliza kwanza mjadala wa tule turamani twa vile vi appartments. Nimepanga kukujengea tu units kama 12 tuu viko kama vile vya Abla, ila hivyo kila ki unit chake kitakuwa na pool yake!, si ni vitakutosha?.
Pasco.
 
Sasa anaoa rafikiyo na unachunguza wewe! Utaenda kuishi nao ama utakuwa unachomeka mkuki?
Mimi ni mmang'ati na nadhani tabia zangu ni standard. Ila kujua tabia zetu unahitaji kuandaa documentary kabisa, wasiliana na national geographic wakupe mwongozo.

nitililikie 2 bhana mi nataka kutoka kwako ww,hata japo kwa ufupi 2
 
Yaani bado unapanga? Nikajua umefikia finishing sasa unaenda italy mara moja kuleta finishing materials za maana!
Sijachanganya kabila ila tu mitandao inaniharibu kichwa. Nawasoma kina mange kimambi:gossip:.
umeshaanza kuprocess hati lakini, mana mama tibaijuka akiona hapa ataanza wivu.
Wee utakuwa ni lazima umechanganya kabila!, haiwezekani ukatanguliza kwanza mjadala wa tule turamani twa vile vi appartments. Nimepanga kukujengea tu units kama 12 tuu viko kama vile vya Abla, ila hivyo kila ki unit chake kitakuwa na pool yake!, si ni vitakutosha?.
Pasco.
 
Wanajamvi tafadhari naombeni mnijuze tabia za wanawake wa kimang'ati katika swala zima la mapenzi.Tafadhari nijuzeni,rafiki yangu anataka kuoa.............

Mwambie anunue JIK, omo,mchaichai hiliki na karafuu maana bila ya kumuogesha mang'aati na hivyo vitu hapatalalika
 
Ni kama za wa Barbaig, Wahadzabe, Wataturu, na Wasandawe. Click moja ya makabila hayo kwenye google, then fuatilia links za jf, tumeisha wazungumza sana humu!. Na huyo mchumbo wa jamaa yako. kama mwanamke huyo ni wa kijijini, ukae ukijua, amefanyiwa "ile kitu!".
Pasco.

Pasco
Wabarbaig ndio wa mang'ati. Ni sawa na Wambulu na wairaq
 
Last edited by a moderator:
Mwambie anunue JIK, omo,mchaichai hiliki na karafuu maana bila ya kumuogesha mang'aati na hivyo vitu hapatalalika

demu sio mshamba ni mjanja plus msomi,tena anapigilia v2 mpk mie namtaman khaaaa!
 
tena sie wamang'ati hua
tu wazuri wa asili,tabia zinaridhisha
kushare kwa kuweka mkuki ilikua zamani
nawdays hakunaga,karibu sana umang'atini Faru dume!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kama za wa Barbaig, Wahadzabe, Wataturu, na Wasandawe. Click moja ya makabila hayo kwenye google, then fuatilia links za jf, tumeisha wazungumza sana humu!. Na huyo mchumbo wa jamaa yako. kama mwanamke huyo ni wa kijijini, ukae ukijua, amefanyiwa "ile kitu!".
Pasco.

Wamang'ati ndiyo Wabarbaig, ila kwa tabia sidhani hayo uliyoyataja yanaendana. Wasandawe wa kiume wana wivu sana
hasa kwa hawara zao, wa-kike wana nidhamu japo si wagumu sana "kutoa".

Wataturu ni kabila ka wafugaji kama Wabarbaig na angalau hao wanaendana hasa kwakuheshimu nidhamu ya mgawanyo wa majukumu baina ya Wanaume na Wanawake. Wahadzabe (watindiga) niliwaona Bonde la Mto Eyas (pia kuhadithiwa na mama) wao bado wako kwenye zile zama za ujima na ni wachache sana sina hakika kama idadi yao wanavuka elf 10. Nitafurahi kusikia yupo angalau mmoja aliyemaliza Chuo kikuu.
 
Du!, mwanzo nilikuzimikia tuu hata kabla sijajua kabila!, baada ya kujua kabila, nimekuzimikia zaidi kabisa kiasi kwamba siku nikikuona, sitawesa sungumsa kitu!, utasangaa tuu mutu nakusika mkono na kuondoka nawe, hata tukufika huko, sitasungumsa kitu, utasiona tuu isara ni nini file nataka!.
Pasco
Paco mbona kigeugeu?si umesema "wamefanyiwa ile kitu?" mbona umemgeuzia kibao!
 
Faru dume, King'asti, mie naona wabarbaig, wamang'ati na wataturu ni kama kabila moja au variants za kabila moja. Wamang'ati ni wazuri wa asili na tabia zao ni nzuri. Hawapendi longolongo, utapeli, ufisadi, uongo au udhaifu wa aina yoyote ile, ni wajasiri. Wana sheria zao za koo ambazo zinasimamiwa vikali mno.

Tulishawahi kuwa na kambi ya kilimo cha ngano maeneo yao, wilaya ya Hanang. Aisee watoto ni wazuri na si rahisi kuwagusa kabla ya ndoa, wanaachia nyonyo wazi (hilo ni sharti kama bado hajaolewa). Nyonyo zimesimama kama mkuki, dah, lah, loh, acha kabisa! Baba alikuwa ananisakizia, ananiambia kamata mmoja, lakini mie najifanya kama vile sijasikia!

Ila mmenikumbusha kisa cha kweli cha zamani, kulikuwa na mkutano ulioitishwa na afisa mtendaji wa wilaya, sasa mang'ati moja alikuwa anasimamia protokali za mkutano, kwa hiyo ikafika zamu ya kumkaribisha afisa mtendaji, akaanza kama hivi:

"Ndugu wanainsi namkaribisa afisa mtombaji wa malaya ya Hanang......." dah, Nilistuka, lakini baada ya kuona watu wameanguka kwa vicheko ndio nikagundua kakosea tu matamshi.

I have had a very nice time in that place, huwa natamani nikipata muda nikafanye tour.
 
Back
Top Bottom