Tumetoka mbali bby usiniache

Tumetoka mbali bby usiniache

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Habari wana jamvi,kwa kweli kuna jambo mimi linanikera kwa kweli,kuna baadhi ya misamiati wanapenda sana kuitumia wapendanao nayo ni "UTANIKUMBUKA"na huu "KUMBUKA BABY TUMETOKA MBALI"sasa najiuliza hivi hii misemo ina uhusiano gani na suala la mapenzi?utakuta mtu amefanya ujinga wa kutosamehewa na inapotekea kuachawa utamkuta anabaki kusema" Kumbuka baby tumetoka mbali"yaani ndo kusema kutoka kwetu mbali ndo iwe sababu ya kufanya madudu?SASA wadau hebu tujuzane hv hii misemo inamantiki yeyote kwenye suala Mapenzi?hebu dondosha comenti hapa kati.
 
wengine wanawapa zilipendwa wao vibuti bila sababu ya msingi,mwenzio anakuwa kajiwekea malengo lukuki lakini anapewa kibuti wakati huo alifanya mambo meeengi ktk hilo penzi ndo maana anajisemesha vimisemo vya namna hiyo..lakini dua la kuku halimpati mwewe atajisemesha weeeeee wenzie wanaendelea kula bata.
 
Mi akisema nimetoka mbali,namwambia sasa hapa ndo gari limeshaisha mafuta.
 
Msemo mwingine ni shetani tu alinipitia...!!!!!
 
Nisamehe tu, mie faru jike

Sikumbuki nimekunyoa naniliyu lini. Sipendi misitu mie, hebu kam zis wei fo ze niidful.

Hivi tukipataga matatizo hatukumbukani eh? Poa tu. Sijakumiss wala nini.
 
Swit hat, sabuni ya moyo kuliko pesa, umepotelea wapi?

Nikajua torabora wakekukamata? Pole hata kabla sijajua ulikuwa natatizo gani

Sikumbuki nimekunyoa naniliyu lini. Sipendi misitu mie, hebu kam zis wei fo ze niidful.

Hivi tukipataga matatizo hatukumbukani eh? Poa tu. Sijakumiss wala nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom