Ukweli ni upi?

Ukweli ni upi?

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Wanajf naomba ufafanuzi,kuna ulazima/umhimu wa mwanaume kumzidi miaka mwanamke' km ni yes miaka mingapi,mi mchumba wangu namzidi mwaka m1, nimuoe? Au atazeheka mapema kulko mie? Karibuni
 
Hakuna ulazima wowote. Kama umempenda kiasi cha kuona anafaa kufunga naye pingu za maisha basi endelea tu na mikakati ya kumuweka ndani hiyo tofauti ndogo ya umri isikuumize kichwa.

 
Last edited by a moderator:
Angalia mwili wake upoje au kama vipi ili tukushauri tunaomba utuwekee picha.
Kama una mihela hamna mambo ya kuzeeka kaka siku hizi uzee unakuja kama ukifulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom