Wakuu, Najua dunia ina mambo mengi magumu, mengine yanakatisha tamaa hadi watu wengine wanatamani kunywa sumu, kujiua, kufa ghafla au kufanya lolote ilimradi tu wapotee kwenye uso wa dunia! Mfano matokeo ya mitihani yaliyotoka hivi karibuni yanaweza kuwa yamewasibu wengi etc etc., Sasa nawatia moyo kwa "verse" ifuatayo: "Possibilities evolve from the mind that is aware of its own infinite nature"