Mh kama upendwi wala usijisumbue

Mh kama upendwi wala usijisumbue

Samwel0759

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
19
Reaction score
11
INAUMA SANA CHEKI HII ,Unamnunulia demu CM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA !
Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamrushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako !
Huo ni Mwingiliano wa mtandao. Unamnunulia demu CHUPI , Mwanaume mwenzako ANAMVUA,
Huko ni kusaidiana ktk maisha! Unamwomba demu mfanye mapenz japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anabembelezwa na demu wakalale mpaka asubuh ,Huu ni mtazamo tu !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom