kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nimejitokeza kwenu mnishaur mimi nimewahi kuwa mchumba binafsi nilimpenda na nikadhamilia kumuoa sasa tulidum kwa mda wa miezi minne cha ajabu hakuwah kunitafuta kwenye sim hata siku moja basi siku moja nikawa nikimpigia cim usiku tunaongea kidogo anadai amechoka basi kwa vile nampenda nikawa namheshim nampa mda apumzike basi ciku moja nikampigia cim saa mbili uciku nikakuta sim iko bizy kama dakika 20 hivi basi nilivyopiga tena akapokea but akaniambia nikate kwani kuna mtu wa muhim anaongea basi nikamuuliza nan akaniambia ni rafiki basi nikamwambia si tuongee kwanza akakataa basi nikachukia nikakata sim na tukaachana sasa no tukikutana amenichukia na hataki hata salam yangu akaanza kunilaum eti nisipobadika tabia cintoish na mwanamke je ndugu zangu mi ndo nina makosa au yeye lakin mimi nimechoka mara huwa anasema mara mi mzur nikimwambia mwanaume yeyote nikae kwake anakubali mi nikaona hafai na tukaachana