Jamani naombeni msaada, hivi mtu kama huyu nyie mnamchukuliaje? tulikuwa ndo tumeanza tu kuongea kwa njia ya simu mimi na mpenzi wangu ambae nkonae mbali, hata dakika tano hazikuisha akanambia...
Nimekuwa na mahusiano naye kwa kipindi cha karibia mwaka mmoja, ghafla akanitumia SMS kwamba haitaji tena mawasiliano nami, nikajaribu kumbembeleza akakomaa na msimamo wake. Nami nikakubali...
Tabia sugu za waume zetu
1. Ukali,
2. Ulevi,
3. Kuchelewa kurudi home,
4. Kupenda marafiki kuliko familia.
5. Umalaya, 6. Kuganda simu zao.
7. Kuficha mambo yao ya maendeleo
8. Kupenda ndugu...
What is Kiss?
* in Maths;kiss is the shortest
distance between two lips.
* in Biology; it's the exchange
of germs from one mouth to
another.
* in Chemistry; it's a process of testing the ph...
Zifuatazo ndizo hulka za "kigori" ambaye ni jamvi la wapita njia........................
1) Haiba yake inatawaliwa na tamaa zake za kimwili. Kila kitu hukitamani na kamwe haridhiki na...
Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan...
Msanii mkongwe kwenye soko la filamu Tanzania,Yvonne Cherry "Monalisa" amesema hatarajii kuolewa tena baada ya kuvunjika kwa ndoa zake kadhaa ikiwemo ile ya producer...
Wadada wengi hawajielewi, na mara nyingi hudhani kuwa akipewa zawadi ama outings na mwanaume basi anamtaka ama anajipendekeza.
Wakati mwingine sio ni vile tu ntu anakuwa anahitaji kupata mawazo...
Kuna idadi kubwa ya wanawake ambao wanakaa kwenye ndoa wasizoridhika nazo, ndoa zenye kuwafuja na kuwatesa, ambazo kwao zimepoteza maana na hawana sababu ya msingi kuishi humo. Lakini wanawake hao...
Mume anahitajika awe ni mpweke na mwenye nia ya kuwa na mwenzi wa kufarijiana. awe mkirstu anamuogopa mungu na msomi mwenye kazi yake. Kwa maelezo kuhusu mimi na umri wangu na watoto wangapi nilio...
wanajamvi amani kwenu,
Kuna huyu mdada anafanya kazi NMB (kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini.
Kwa jinsi...
Habari za masiku tele wanajamvi wenzangu.
Nimefurah sana kupata nafasi ya kuwa pamoja na nyie kwa mara nyingine tena wapenzi wangu. Niseme hivi kwa wale ambao ni wapenzi/ wapendwa wangu wa kila...
Habarini Za Usiku Wadau,mimi Nna Mchumba Wangu,na Nmeandka Barua Ya Posa Kwao,ila Akiwa Mbali Na Mm Nampenda Sana Na Nataman Awepo,ila Nikiwa Nae Karibu,na Kusex Mara Tatu Tu Namchoka Na Sitaman...
Jamaa mmoja alioa mwanamke na kuzaa nae watoto wawili,bahati mbaya hapo kabla hajaoa aliwahi kuwa na mpenzi mwingine aliyempa mimba,japo hakuamini kama ilikuwa ni yake.HIVYO ALIKAA,na hata mtoto...
Ni binti mzuri wa kiarabu mwembamba nikakaanae siti moja tulionge mambo mengi mwisho tulipeana mawasiliano
Tuliendelea na mawasiliano Penzi likaingia kati yetu tulipendana kwa dhati na...
Afternoon gents and ladies...
Leo nimeamua kuwapa moyo kwa mambo myafanyayo bila kukata tamaa, never never give up kwenye vitu unavyofanya hata kama hujafikia malengo.
Mafanikio isn't one day...
Jamani sasa hvi ukitaka kuoa jiandae kikamilifu kwa sababu imekuwa ni mtaji na harambee kwa familia ya mdada unayemuoa. Tena kama unaenda kuoa Moshi ndo balaa na ujipange zaidi.
Sikashifu mtu...
Natafuta mke wa kuoa kuanzia miaka 21-24,awe mkiristo,sijali kama ameajiriwa au la..kikubwa ajitambue na asiwe mtu wa skendo,makabila yote ila kasoro pande za kaskazini..Umri wangu miaka 26..kama...
Hii ni meseji imeingia kwenye cm yangu jana usiku.ni namba Mpya sijamtambua ni nani na mbaya zaid sijajua ana maana gani....plz nidadavulieni ana maana gan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.