Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa...
nimevumilia sana jamani but huyu mdada mi nampenda sana.sauti yake,swaga zake sio za kisister duu ndo nakwisha kabisa namtafuta sana kama mtu akimuona anifikishie ujumbe wangu.alafu nashangaa...
Jamani ndgu zangu habarini,
Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila...
Ni kuhusu msichana mrembo wa miaka 20 mfanya kazi wa Bank aliemchengua kijana wa miaka 15 yatima na kupelekea tragedies yasioelezeka kwenye maisha kiasi cha kukutana na kuwa na conversation with...
Anawajengea wanae, msianze kuninanga mkaniharibia swaum yangu bure. Mi ninazo nyumba zangu nimejenga tangu kabla hatujafikishana hapa, moja naishi na wanangu nyingine ninapangisha. Hii nnayosema...
wajameni nakuja dar wiki hii nlipenda nipate mwenyeji pande hizo. awe mtoto wa kike uzuri sijalishi cha msingi awe anajielewa katika hizi kitu sio kuleta habari za watu wa darasa la saba
Habari zenu wadau.
Mimi ni kijana wa kiume,miaka 28 ninaishi Dodoma!Elimu yangu ni Degree,,dini yangu mkristo.kabila langu msukuma!Natafuta mchumba mwenye miaka 22 hadi 24.awe anaishi...
^^
Tukiweka kando sala au maombi ya pamoja ktk familia hususani ya usiku,baba,mama,na watoto n.k Imeelezwa kuwa wanandoa au wapenzi tu wanapokuwa chumbani kwao Kabla ya kuvamia kitanda kwa ajili...
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila...
pole sana mama angu: siku zote kila nikikupigia simu huna neno jingine zaidi ya mimi kuoa, kila siku mwanangu mwanangu unaoa lini? mwanangu oa, mwanangu nahitaji mkwe, mwanangu nahitaji mjukuu...
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo...
Wanabodi...Natumai mu wazima sana!
Kwa wale walio kwenye mfungo natumaini swaumu inaenda vizuri na soon kitu cha idd kitawasili..na kwa wale wenzangu na mie najua maisha yanasonga kama...
Ninahitaji mwenza bado sijapata kwa alie tayari anipm. Nipo single mother nina mtoto mmoja 9yrs ambae hatajali tuanze mahusiano. Ninafanya kazi. Please kejeli sio busara i am serios
Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza...
Naomba kuwauliza wana jamvi,Mimi ninamzazi mmoja yaani mama ndo aliyebaki kwani Baba yangu alifariki miaka 8 iliyopita kwa upande wetu tumezaliwa wengi na tayari tuna watoto wa kuwazaa wanafikia...
It has come to our attention that the strange things we hear and see through the media are happening right under our nose. (Lesbianism, Sodomy, Incest etc).
A couple was blessed with two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.