Are you top or botom?

Are you top or botom?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
Hii ni meseji imeingia kwenye cm yangu jana usiku.ni namba Mpya sijamtambua ni nani na mbaya zaid sijajua ana maana gani....plz nidadavulieni ana maana gan
 
Hii ni meseji imeingia kwenye cm yangu jana usiku.ni namba Mpya sijamtambua ni nani na mbaya zaid sijajua ana maana gani....plz nidadavulieni ana maana gan
he means, ''how do you have gay sex?? giver (top) au receiver (bottom)?''
 
Tanzania ipo mbali sana, huko fbook hadi mmeweka public ufirauni wenu. Basi jificheni basi msituharibie wadogo zenu wajaa laana nyie.
 
Tanzania ipo mbali sana, huko fbook hadi mmeweka public ufirauni wenu. Basi jificheni basi msituharibie wadogo zenu wajaa laana nyie.

sema wewe kiazi nikisema mimi muhogo wanadai ni mzizi...
 
Baba yako angekuwa nae shoga kama wewe unadhani ungezaliwa? Acha kutangaza biashara yako ya kishetani hiyo.
 
Hii ni meseji imeingia kwenye cm yangu jana usiku.ni namba Mpya sijamtambua ni nani na mbaya zaid sijajua ana maana gani....plz nidadavulieni ana maana gan

siwez kukuhukumu kua ww ni gay au unahusukika kwa namna moja hadi nyingine ya vitendo vya kuingiliana kinyume na maumbile aka sodoma na gomora,,...ivi unafaham kua kuna MUNGU????? NA JE UNA HOFU JUU YA MUNGU???? MUNGU akusamehe na akupe upeo wa kuitambua haki uifuate na uachane na batili na anusuru vizazi vyetu visiangamie,,....AMIIIIIIIIIIIIIIN,,...!!
 
Mnaharibu jamii forum ....grow up acha utoto
 
Bwana utusaidie...tizama watu wako walivyokosa aibu mbele zako...ee mwenyenzi uturehemu
 
kama huelew maana yake,kwanini umeanza thread kwnye jukwaa hli la mapenz.?ulijuaje kama hyo sms inahucka na mapenz.?
Acha kutuchora..
 
Back
Top Bottom