Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Nimekuwa na mahusiano naye kwa kipindi cha karibia mwaka mmoja, ghafla akanitumia SMS kwamba haitaji tena mawasiliano nami, nikajaribu kumbembeleza akakomaa na msimamo wake. Nami nikakubali matokeo,
Nimeshangaa kanitumia sms eti nimsamehe, tuendelee na mapenzi, najiuliza ni kwa nini arudi mwenyewe?
Nimeshangaa kanitumia sms eti nimsamehe, tuendelee na mapenzi, najiuliza ni kwa nini arudi mwenyewe?