Naogopa kumwambia nakupendaa!!!

Naogopa kumwambia nakupendaa!!!

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan ya eden? (Sijasema kuwa aliasi mapenz kwnye bustan ya eden)...
Mbona kuomba ela haoni aibu?
 
Huu ni utamaduni tuliojijengea kwamba mwanamke akitamka haraka haraka kuwa anakupenda itakuwa kama amejirahisisha.
Ndio maana sasa jambo hilo linakuwa gumu kwake.
Halafu kitu kingine kwa utamaduni wetu mwanamke hatongozi mwanaume ila huwa anaonesha ishara.
Hata tamka bali ataonesha ishara za kukupenda.

Man! unatakiwa uwe mwelewa maana mara nyingi hawa wenzetu hutumia ishara mara nyingi.
 
Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan ya eden? (Sijasema kuwa aliasi mapenz kwnye bustan ya eden)...
Mbona kuomba ela haoni aibu?
inategemea ntu na ntu, wengine hata hatujazaliwa na aibu.
 
... Njoo Sinza Corner Bar. saa 2 usiku... hata hujafungua gari hajakuona NAKUPENDAAAA..... na juu juu unakamatwa...
 
mbona mimi mke wangu ananiambia kila mara kuwa nakupenda, au ulikuwa na maana ipi ndugu
 
Naulza!! Wanawake wengi wanaogopa kumwambia mwanaume kuwa anampenda, tofauti na mwanaume ambae haraka sana atasema.ni kwa nini? Aibu inatoka wapi wakat mwanamke ndo alikuwa wa kwanza kuasi bustan ya eden? (Sijasema kuwa aliasi mapenz kwnye bustan ya eden)...
Mbona kuomba ela haoni aibu?

cwanajua ku2mia kama a.t.m ila awajui kuifadh kama bank wapuuz japo c wote lakn weng wao.
 
the point is......?
Bustani ya Edeni ilikuwa kwa watu weupe ndo maana wanawake weupe "Wazungu" wanaweza kumwambia mwanaume nakupenda, na zaidi ya hapo anaweza mwambia twende nikakupe sasa hv,.........!:tape:
 
na miluzi wanakupigia,wale watu kweli balaa.....

Ngoja ntakuja unipeleke Corner bar,....ngoja mjomba amesema shule ikifunga nije huko dar kushangaa magorofa,....ntakutafuta ukanionyeshe Sinza kwa wajanja...right..?
 
Ngoja ntakuja unipeleke Corner bar,....ngoja mjomba amesema shule ikifunga nije huko dar kushangaa magorofa,....ntakutafuta ukanionyeshe Sinza kwa wajanja...right..?

right,sio Corner Bar na viwanja vyote hapa darisalaama.....

mwambie Mjomba kabisa kuwa kuna kimwana atakuja kukupokea Ubungo Terminal
 
Wengine wanaepuka maswali yanayofuata once unapomwambia mtu nakupenda......
 
Back
Top Bottom