Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Ni binti mzuri wa kiarabu mwembamba nikakaanae siti moja tulionge mambo mengi mwisho tulipeana mawasiliano
Tuliendelea na mawasiliano Penzi likaingia kati yetu tulipendana kwa dhati na tulisaidiana kwa kila khali
Tulifikia hatua ya kuhitaji kushi pamoja hapo ndipo kila nikikumbuka nalia saaana kwa kile kilicho tokea " Bint Salma alikataliwa asiolewe nami kisa mswahili"
baada ya kukataliwa ombi la yeye kuolewa nami ananipigia simu kuwa ananifuata Kibamba Dar es salaam namkataza asifanye hivyo ananambia xxx no i can't wait any longer xxx
Anatoroka kwao na kupanda basi la Mohamed Trans basi hilo linashika moto muda mfupi baada ya kuingia ndani................