UJUE wasifu wa jamvi la wapita njia...

UJUE wasifu wa jamvi la wapita njia...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
Zifuatazo ndizo hulka za "kigori" ambaye ni jamvi la wapita njia........................

1) Haiba yake inatawaliwa na tamaa zake za kimwili. Kila kitu hukitamani na kamwe haridhiki na alichonacho na matokeo yake hunaswa na mitego kiulaini na hivyo kuwa mtumwa wa mahitaji ya wapita njia tu............ili mradi atimiziwe kiu zake ambazo hazina mipaka.

2) Ujana wake hauthamini na hana maandalizi yoyote ya kujikimu uzeeni.

3)
Mwanaumme anayemthamini ni yule mwenye mkate mkubwa bila ya kujali au hata kutafakari kwa kina athari za maumivu ambayo huyo mwenye nacho atamsogezea mwilini mwake!

4) Wale ambao ni hoehae hawathamini hata kama wana tabia njema kwa sababu yeye ni mtumwa wa mahitaji yake ya kimwili tu............hataki kusikia "upuuzi" mwingineo wowote ule!

5) Hukesha usiku kucha kulaumu wengineo bila ya kutathmini michango yake mwenyewe ya kufifilisha mahusiano na wale wanaumme waliowahi kumtongoza.

6) Pamoja na kuwa "beneti" na waume za watu wenye "vijisenti" bado hujiona mpweke na hana furaha kamwe.

7) Mara nyingi kila mtoto aliyebahatika kumzaa huzalishwa na mabwana tofauti tofauti kwa sababu hawezi kuridhika na mahitaji yake ya kimwili anayopewa na bwana mmoja! Hivyo hubidi achanganye "sampuli" lukuki bila zengwe!

8) Kwa kuhangaika sana na kiu zake ambazo hazina matulizo huishia kuwa na mali kibao lakini afya yake huwa na migogoro isiyo na ufumbuzi. Safari za India kule Apollo -
waendako wakubwa waathirika "bubu" wa ukimwi - na kwingineko haziishi lakini hakuna tiba mwafaka ambayo huipata.

9) Ana moyo mgumu wa kuwakwamua ndugu na jamaa zake pale wanapokwama na hujisikia kuwa na hasira anapoombwa misaada mbalimbali kwa sababu anaona yeye keshaumizwa sana katika kuzitafuta hizo mali sasa iwaje hao nao eti kupitia undugu, urafiki au ujirani waje kula ambacho hawakupanda! Angelipendelea nao wafuate nyayo zake ambazo ni
"Tesa sasa kwani kufa kwaja.................."

10) Hii sitaisema kwani nanyi changieni pia............lol!
 
^^
Uko sahihi Mkuu,,watu tunabadilika from better to worse,,hapo kwenye big bang umenikumbusha mbali sana..
^^

na wapo wanaodai kugundua " big bang" theory! Bila ya kujua "big Bang" siyo mwanzo wa dunia bali ndiyo itakavyokwisha..........
 
HA! HA! HA! HA! I assume umenitaja kimakosa hapa! And i sincerely forgive you! But if hujanitaja kimakosa na by any chance unanihussha na hii mada, you must not be serious! You better reavaluate your self before i Sue you for Defamation of Character (Libel) na Invasion of Privacy not to mention about suing you for infliction of emotional distress na compensation hapo si chini ya 50m. And i wont settle outside of court. BETTER BE CAREFUL WHERE YOU MENTION MY NAME.
 
Ni me kumention ili kupata mchango wako maana mada kama hizi unatoa point za kumwaga
 
lara 1 libel suit requies you to disburse the burden of proof so far King Kong III has mentioned your name in good faith that he wants you to beware of this thread...........not that you character resembles the one discussed there.
 
Ni me kumention ili kupata mchango wako maana mada kama hizi unatoa point za kumwaga

hata mimi nililiangalia kwa sura hii na wala siyo vinginevyo.............unless lara 1 she is deeply troubled by the issues raised in this thread.
 
Back
Top Bottom