Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kukonyeza ni kosa sawa na shambulio la aibu. Lakini kwa nini watu wanakonyeza na wanajisikia raha gani kukonyeza na wale wanaokonyezwa jee huhisi jambo...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajiawameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom.. Meseji hiyooo. Familia ya Bwana Mbulula wanayo furaha...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Helo! Baadhi ya wanawake wanatambua kuwa mwanaume mwenye mshiko wa kutosha kuihudumia familia na kuwaridhisha kunako 6kwa6 basi ni vigezo tosha katika ndoa; wakati kuna mambo mengi sana ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Chimpazee na Binadamu wanafanana kibiolojia kwa zaidi ya 98.5%. 2.chimpazee na binadamu ndio wanyama pekee wanaofanya mapenzi/tendo la ndoa kwa ajili ya starehe,ndio mana chimpazee na binadamu...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia. "Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
mapenzi bila wivu ni sawa na bure lakini wivu nao ukizidi mapenzi yanaharibika hasa kwa wanawake mnawivu mpaka kero
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mpenzi wangu alinialika unschedule meeting na mtu mgeni kwangu kisha alinitambulisha kama ni mchumba wake. Nikafahamu pia amesha mtambulisha mchumba wake huyo mpaka kwa wazazi wake. Huyu...
1 Reactions
168 Replies
25K Views
Natafuta mke wakuoa awe mwalimu anaye fanya kazi dar na awe mkazi wa mbeya,hata kama atakuwa anafanya kazi mbeya itakuwa vizuri.umri 19-23,awe mkristo kamili mwenye maadiri mema 0718601714
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Salaam Natarajia kufunga ndoa na mwanaume fln ambaye tumekuwa kwny mahusiano kwa zaidi ya miaka mi4 but kiukweli cna hisia naye sn tho he z a hubby material. Yeye anaishi mkoa mie nipo dar...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
Hivi mfano ikitokea ww umekua na urafiki wa karib xaaana na mke wa mtu...Na mwisho wa siku yule mwanamke anakua anakukubali xaaana ww....Lakin pia inawezekana ww pia ukatokea kumkubali xaaana yule...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
hi jf mi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29 nikiwa na miaka 24 nilikwa na mahusiano na kijana mmoja nikapata ujauzito lakin yule kijana alikataa niliendelea na maisha kwa mda huo nilikuwa naplan...
4 Reactions
73 Replies
8K Views
Habarini bandugu Hakuna mwanadamu ambaye afanyi UCHAGUZI katika maisha yake ya kila siku wala hakuna mtu ambaye anayeweza kuchagua kile ambacho hakipendi? Hivyo maisha ya watu wengi yamejaa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!! Ujue sisi wadada wengi haswaa wale smart kichwani, decent kidogo na ukfuta ujinga kidogo unakuwa na standard zako za ukwee, na una kuwa na idle...
26 Reactions
163 Replies
16K Views
Nimeingia mgogoro na demu wangu baada ya leo kukata mzizi wa fitina na kuniambia hakuwa na furaha na mimi pamoja na ukweli kwamba yeye ananipenda sana. Ameniambia makosa ama mambo ambayo yalikuwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo ni jumapili karibu asilimia kubwa ya walioko kwenye mahusiano yoyote watakutana leo Hebu kwa wale mnaokutana leo jaribuni kujiuliza hili: Hivi mapenzi tu ndo ynatosha kutufanya mimi na wewe...
8 Reactions
74 Replies
7K Views
I am in TZ (DSM) for a short stay and looking for a female friend. What I expect: Good looking, educated, great sense of hygiene, romantic. U can expect the same in return. Good luck!!! Pls...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Inasemekana Mwanamke anapofikia umri wa miaka 25 huanza kujiuliza kuhusu kuolewa, lakini pia huanza kujiuliza kuhusu watoto. Kama hajaolewa, hana mchumba au anahisi kutokupata mtu anayeamini...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf? natumaini mu wazima wa afya njema. hili ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana...
0 Reactions
91 Replies
13K Views
kumbe baba nanihiiiiii ndo uko hivyo.......? ni swali toka kwa mke akimuuliza mumewe baada ya kufumwa akimchungulia mpangaji wake chooni, na mbaya zaidi kafumnwa na mwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom