Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,243
Kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kukonyeza ni kosa sawa na shambulio la aibu. Lakini kwa nini watu wanakonyeza na wanajisikia raha gani kukonyeza na wale wanaokonyezwa jee huhisi jambo lolote? kuna raha ya kukonyeza au kukonyezwa?
Tuendelee kukonyezana!!
Tuendelee kukonyezana!!