Wivu wa kupitiliza unaboa

Wivu wa kupitiliza unaboa

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,223
Reaction score
16,902
mapenzi bila wivu ni sawa na bure lakini wivu nao ukizidi mapenzi yanaharibika hasa kwa wanawake mnawivu mpaka kero
 
mapenzi bila wivu ni sawa na bure lakini wivu nao ukizidi mapenzi yanaharibika hasa kwa wanawake mnawivu mpaka kero
Kama mwenzi wako anaku-care na kukukuna kisawasawa, sharti umuonee wivu. Labda kama malengo yako ni kumchuna tu, hapo hutakuwa na wivu. Na kwa wanaume vile vile, kama bidada anakufikisha mars na yumo ndani kabisa ya moyo wako, lazima utamuonea wivu.
 
^^
Ngoja niifuatilie hii mada,,maana nikimpenda mwanamke kwa dhati ugomvi mkubwa ni kuwa nina wivu eti nimuache huru.
Ntajifunza jambo hapa.
^^
 
Kwa mtazamo wangu wivu ni kipimo kizuri sana kwenye mapenzi..Hakuna mapenzi bila wivu ila ukizidi ni kero ilopindukiaa...na ni ishara kwa hujiamini na humuamini umpendaye au una hofu kwamba unaweza kumpoteza kwa mtu/watu wengine kwahio wivu unakuwa kama gamba unalojivika ili kujikinga na hali hio kutokea...
 
^^
Ngoja niifuatilie hii mada,,maana nikimpenda mwanamke kwa dhati ugomvi mkubwa ni kuwa nina wivu eti nimuache huru.
Ntajifunza jambo hapa.
^^
Unamaanisha wivu wa vipi Himidini mtu hata asiguse simu au asiongee na watu kwasababu inategemea na huo wivu wenyewe!
 
Unamaanisha wivu wa vipi Himidini mtu hata asiguse simu au asiongee na watu kwasababu inategemea na huo wivu wenyewe!

^^
Ha ha sijafika huko,,najua Love is not possessive.
Ni ule tu wa kawaida.
^^
 
Zombie wangu siku moja nikajifanya kumuuliza ni nan huyo kakupigia simu?eti nae akafurah nakuniambia kumbe una wivu baby eeeeeh!!!!!
Angejua..........lol
 
Zombie wangu siku moja nikajifanya kumuuliza ni nan huyo kakupigia simu?eti nae akafurah nakuniambia kumbe una wivu baby eeeeeh!!!!!
Angejua..........lol

Kwa hiyo huna wivu nae?
 
hivi tunatumia kpmo gan kuutambua uliopitiliza?? Yoyote atakae kipata anipe na mimi nitumie tafadhali...natanguliza shukran
 
Zombie wangu siku moja nikajifanya kumuuliza ni nan huyo kakupigia simu?eti nae akafurah nakuniambia kumbe una wivu baby eeeeeh!!!!!
Angejua..........lol

^^
Angejua nini?..ndo shida hiyo,hamukawii kutuita mazoba,tukiwaacha Oo! Hapendeki,,jamani tuwafanyie nini!
^^
 
Back
Top Bottom