sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 868
kumbe baba nanihiiiiii ndo uko hivyo.......? ni swali toka kwa mke akimuuliza mumewe baada ya kufumwa akimchungulia mpangaji wake chooni, na mbaya zaidi kafumnwa na mwenye mke. nasubiri aibu imtoke anifahamishe anaona raha gani kuchungulia watu chooni.