Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
1.Chimpazee na Binadamu wanafanana kibiolojia kwa zaidi ya 98.5%.
2.chimpazee na binadamu ndio wanyama pekee wanaofanya mapenzi/tendo la ndoa kwa ajili ya starehe,ndio mana chimpazee na binadamu hufanya mapenzi muda wowote wanapojisikia mana ni starehe,kwa hiyo wale msiopenda kutumika kama starehe lijueni hili kuwa tendo la ndoa kwa binadamu ni sehemu ya starehe kama ilivyoelezwa na wataalamu,pia kazi ya pili ni kwa ajili ya reproduction.
Wanyama wengine wote waliosalia wanafanya mapenzi kwa ajili ya kuzalishana-reproduction.
Na hawafanyi mapenzi mpaka ule muda wa kutunga mimba-heat period.
3.3.3 UTAFITI ulibaini kuwa chimpazee wanajua kufanya mapenzi kuliko binadamu na wanatumia style nyingi zaidi katika upeo wa juu sana.
FANYA UFANYAVYO LAKINI CHIMPAZEE ANAELEZWA KUWA NI KIBOKO YA MAPENZI na STYLE.