Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Amani kwenu wadau!..its a lovly friday pande hizi, hop mko poa. ktk pita pita zangu nmekutana na haka kawimbo (Tamia - give me you), kana ujumbe mzito,then nkawish katika maisha haya ya ujana...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimebahatika kutembelea baadhi ya guest house(nyumba za kulala wageni),cha kushangaza karibia guest house zote nilizotembelea hupenda kutumia sabuni hii,inaitwa EVA,nadhani wale wenye uzoefu na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana wa MMU Sifahamu kama hii mada ilishawahi kuzungumziwa hapa kabla, kama tayari naomba na hii yangu tuchangie Tendo la kubusu. Sio kila moja anajua jinsi ya kubusu. Wengine wanabusu na kuacha...
0 Reactions
24 Replies
72K Views
Habari Wakuu, kwanza ninawapa hongera kwamba pamoja na JF katika siku za karibuni kuvamiwa kwa posts za hovyo hasa kutoka kwa wadogo zetu amboa nina imani hali itapungua wakianza kusoma vyuoni...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
I'm Azfah, going thru serious misunderstanding wth my boy (im not sure if he still mine lolest) sometime this yr nlimwambia baby angu kwamba nimenasa while he was outta country for some b'ness...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanajamvi. Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Nina miaka 44 natafuta mwanamke wa kuwa mwenza wa maisha na awe tayari kuanzisha familia awe na umri wa kuanzia miaka 40,aliyetayari Pm au tuwasiliane kwa email adres ifuatayo kachelenga@ovi.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wanaume huwa mnanishangazaa sanaa, mtu ana kaa na mtu miaka kibao, unaona chemistry ipo, wanaendana kabisaa you can tell they are...
5 Reactions
125 Replies
14K Views
Wenzangu mzaha umeniletea balaa ndani ya ndoa... Jana tulikuwa tupo kwenye utani mwepesi si nikajifanya nimezira mwenzangu! Nikamwambia baba watoto leo hamna kitu tunalala mzungu wa nne... Si...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Alitekwa mawazo Adam na Hawa bustan ya eden kala tunda , kapotezwa Samson na Delila, kachezea kipigo kwa wafilist, Hamani alinyongwa na mfalme kwa ajili ya Esta wewe nani hadi ujifanye mbish mbele...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi ni kijana mwenye umri wa 26 years nimetokea kumpenda binti mmoja kiukweli kwa mtazamo wa macho yangu naona dunia nzima hakuna kama yeye.Basi mtoto wa...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Kwa kumtoa bikra mwanadada, damu itakayo ni agano lako naye la upendo (wanawake wengi husema"......sitokaa nimsahau mwanaume wangu aliyenileta ukubwani....."), lakini cha kushangaza midume mingi...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hello JF,Binafsi nampenda msichana mmoja sana lakini,sidhani kama nitaweza kumpata hiv hiv,nipen namna wadau,
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Super sunday imewahi kutokea umetongoza bint kisha aka kwambia "sorry i see you as a friend and i dont want to ruin our friendship" wengine inaweza kuwa tayar wengine maybe bado kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya mimi na mpenzi wangu kuanza kupanga mipango ya kuoana imetokea kauli kutoka kwake ambayo imenitisha na kuanza kufikiria huenda demu wangu ana matatizo makubwa japo sielewi lolote kiasi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu tafadhali naomba ushauri wenu, kuna mdada nlikuwa na mahusiano lakini tukaachana miaka saba iliopita baada ya kugundua kuna njemba nyingine inashiriki( ndio anaishi naye sasa hivi). kipindi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I Salute all MMU members, Hope ur all good katika shuhuli za kutafuta shekeli, wagonjwa poleni na get well soon. he time has come for sakapal to say good bye to the people who have been my fans...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Ee bwana mie Karucee mie, yananikutaga mengi under the sun kwa kweli. I wonder if it is the same for everyone else. sigh!! Juzi bwana nakatiza mitaa ya Kkoo jioni sana kwenye saa moja. Katika...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom