TAMWA kushughulikia Mashugamami

TAMWA kushughulikia Mashugamami

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.
"Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri mkubwa kuishi na watoto wa umri mdogo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia, lakini ukweli hatujapata malalamiko hayo, na kama yakiwepo, tutayashughulikia" alisema Valeri Msako – Mkurugenzi wa Tamwa.

Chanzo: Mwananchi
 
Hao TAMWA nao waende zao.
Kama wenyewe wanapenda vya dezo kwanini tusiwawekeze?
Acha niendelee kumlea my Serengeti boy wangu Shea, toto la Kimwera, nakati ya Boko Basihaya.
 
Kumbe hata malalamiko hayajaletwa sasa nyie TAMWA mmejuaje kama hiyo kitu ipo wakati hakuna aliyekuja kulalamika? Au tayari mshagongana angle zenu sasa mnataka kuharibiana?
 
Kumbe hata malalamiko hayajaletwa sasa nyie TAMWA mmejuaje kama hiyo kitu ipo wakati hakuna aliyekuja kulalamika? Au tayari mshagongana angle zenu sasa mnataka kuharibiana?

yawezekana wao ni miongoni mwao....
 
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.

Ni watoto wa umri gani?
Kama wanazungumzia tofauti ya umri kama mfano mwanamke ana miaka 50 na mwanaume ana miaka 25 watakuwa wanazungumza bila kufikiri
Ni kazi kubwa tena inamhitaji mtu asiefikiri vizuri kwenda kumpangia mtu mzima namna ya kuutumia mwili wake

"Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri mkubwa kuishi na watoto wa umri mdogo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia,


lakini ukweli hatujapata malalamiko hayo, na kama yakiwepo, tutayashughulikia" alisema Valeri Msako – Mkurugenzi wa Tamwa.

Halafu hizo kauli mbona zinakinzana?
 
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.

Ni watoto wa umri gani?
Kama wanazungumzia tofauti ya umri kama mfano mwanamke ana miaka 50 na mwanaume ana miaka 25 watakuwa wanazungumza bila kufikiri
Ni kazi kubwa tena inamhitaji mtu asiefikiri vizuri kwenda kumpangia mtu mzima namna ya kuutumia mwili wake

“Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri mkubwa kuishi na watoto wa umri mdogo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia,


lakini ukweli hatujapata malalamiko hayo, na kama yakiwepo, tutayashughulikia” alisema Valeri Msako – Mkurugenzi wa Tamwa.

Halafu hizo kauli mbona zinakinzana?
 
mbona yapo mambo mengi ya kufatilia jamani Kha!!!

viserengeti boys navyo siku hizi vinapenda kulelewa,kwani wameshikiwa mitutu ya bunduki!!!!!!!!
 
ikiwa wavulana wanaozungumziwa ni wenye umri chini ya miaka 18 inaweza kuwa na mantiki ila ikiwa wavulana wanaozungumziwa ni zaidi au sawa na miaka 18 basi kauli ya tamwa ni ya kipuuzi. mapenzi hayaangalii umri, dini, rangi, elimu au kipato.
 
Shugamami anaanzia umri gani?
Najua mtoto ni chini ya miaka 18.
Hawana jipya. Nikiwa 55 nikawa na 19 nani atanishughulikia? Kwa kigezo kipi? Ny.g zinawasumbua tu.
 

hao mashugamami wanaishi na watoto under 18 au?
na vijana wanavyopenda dezo,wawaache walelewe hahahaa!!
 
hawa tamwa wapumbavu, watuache tupumuwe na shuga mamy kwa raha zetu.

mbona nyie mnakuwa na shuga dady lakini mnatuonea wivu tukibandikiwa maji ya iliki na mdalasini na shuga mamy?
 
Shugamami anaanzia umri gani?
Najua mtoto ni chini ya miaka 18.
Hawana jipya. Nikiwa 55 nikawa na 19 nani atanishughulikia? Kwa kigezo kipi? Ny.g zinawasumbua tu.

Hahahahaaaaaaaaa nimecheka mpaka bac kweli dunia imekwisha Kongosho! Amini nakwambia! Umeona hao wanaotakiwa kutetewa walivyokuja juu? Hawataki! Wanapenda haka ka mchezo! Wanakafurahia mno inavoelekea..... kumbe sasa wanawake wote tutaolewa. Manake ikibuma mpaka 30, we ni kubadili strategy saka hela by 35 au 40 utapata mume tuuu.....
Na vile Eiyer amesisitiza tusioane kwavile tunapendana, kwahiyo hata kama hupendwi ni hela zako na huduma unazotoa ndizo zinazopendwa we olewa tu!
 
Back
Top Bottom