baby ake
Member
- Aug 27, 2013
- 60
- 17
Salaam
Natarajia kufunga ndoa na mwanaume fln ambaye tumekuwa kwny mahusiano kwa zaidi ya miaka mi4 but kiukweli cna hisia naye sn tho he z a hubby material. Yeye anaishi mkoa mie nipo dar (working in a private company while he z a gvt employee) nilimwambia ashulikie uhamisho yeye aje dar ni kama hana mpango/hayuko siriaz na hilo. Hii kampuni nayoserve haina branches mikoani so cwezihamia alipo mymume or else I shd quit the job (impossible).
1. Kiukweli naolewa nae tu kwakua umri wangu naona kama unaenda na nahitaji kuanzisha familia
2. Hisia zangu zipo kwa mtu mwingine ambaye he is not much a hubby material tho napokuwa nae nafeel good ile mbaya n I see myself into him. But yuko na ubrazaman flan unaomshushia sifa ya kuwa mume (in my opinion).
3. Huyu brazaman niko na historia nae kdg; we started dating in early 2009 n broke for gud in late 2010. Thereafter mawacliano baina yetu yakawa yanaendelea tho alikuwa akinibembeleza sn kurudiana nikakataa. Nikapoteza mawasiliano nae for more than a yr, hivi juzi tumekutana he want me back n I really need to get back kwakwl.
So nipo njia panda on who to choose flying wth me in my entire life…USHAURI PLIIIZZ