hi jf mi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29 nikiwa na miaka 24 nilikwa na mahusiano na kijana mmoja nikapata ujauzito lakin yule kijana alikataa niliendelea na maisha kwa mda huo nilikuwa naplan za kuanza kusoma masters so nilianza chuo na mimba ya miezi miwili pale chuo nilikutana na mwanaume mwenye umri wa 37 alikuwa my normal frend baada ya muda nilijikuta nikimueleza kuhusu mimba yangu na ilivyokataliwa alinihurumia ila pia alinipa story kuwa yeye ni mjane mke wake alikufa kwa ajali na walidum kwenye ndoa kwa miaka 6 na hawakubahatika kupata mtoto aliniaidi kulea mimba yangu na baada ya kujifungua tufunge ndoa kwa masharti kuwa mtoto apewe jina lake nilikubali alinidekaza na kunitake care vya kutosha mpaka nikajifungua salama mtoto wa kiume anaye fanana sana na yule janaume la kwanza baada ya kumaliza chuo tulifunga ndoa na nikazaa mtoo mwingine wa kike ana mapenzi ya dhat kwa watoto wote hajawah kubagua wazaz wake na wangu wanajua yule mtoto ni wake sir tunayo ss hv karibun since huu mwaka umeanza yule jamaa amekuwa akinipigia simu anataka mwanae mbaya zaid ananifuata mpaka ofisin nimechunguza nimeambiwa kuwa ameoa ila ni mwaka wa 3 huu hajapata mtoto sipo tayar kumpa mtoto nan jambo ambalo litamuumiza mume wangu je nikimpa jamii including our parents itanichukuliaje as far as they know mtoto ni wa mume wangu pia amekuwa ananitishia kwenda mahakaman kuclaim apewe mwanae mwenye utaalam kidogo wa sheria wanijuze mahakama inaweza kwel kumpa haki ya kumchukua mtoto