Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hbr wana JF. Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo. Bado anawivu lukuki kwa huyo...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
^^ Katika kujenga mahusiano ya mapenzi bila shaka kuna wakati ubishi hutokea,iwe katika hatua ya urafiki,uchumba na hata ndoa. --- Ubishi huweza kutokea katika mambo mbalimbali mfano juu ya...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina girlfriend wangu nilipotezana naye tangu mwaka 2007 kwa msaada wa social network nikaonana naye mwaka huu mwanzoni baada ya kuwasiliana naye kwa muda nikamwelezea hisia zangu akanielewa ila...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Siku ya Kwanza nitoke Vipi? Fikiria wewe ni kijana wa kiume umepanga kukutana na binti ambaye unategemea awe mchumba wako, unawaza je, itakuwaje? Je, atanikubali kweli? Ataridhika jinsi nilivyo...
2 Reactions
24 Replies
13K Views
On behalf of myself, my family members including my parents,my friends, my fellow human beings and my colleagues. Good afternoon wadau!! Today is 14th September,it is my 27th birth day.Our...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Mawasiliano ni kitu kizuri sana katika nyanja mbali mbali hasa kwenye mahusiano. Huyu mwanamke mi simuelewagi mpaka imenifanya nifanye maamuzi magumu. 1. Kila ukimpigia simu-kuipokea ni mpaka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kutokana na wanawake walio wengi kupenda pesa kutoka kwa wenzi wao .hii imekuwa kama kuuza mapenzi hivyo baadhi ya wanaume wameufuata mkondo huo kwa kununua mapenzi yaani wanatoa hela kwa lengo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mzee nilimwuliza kuhusu swala zima la kuoana. Nia ilikuwa ni kujua taratibu za kila kabila kuhusu swala hili mwishowe akasema zamani kulikuwa na baadhi ya makabila wanawake wa hayo makabila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nawasalimu wanajamii,pia natoa pole kwa mihangaiko ya kutwa.nimeona niilete mada hii wanajamii mnisaidie,katika pitapita zangu za kimaisha nimeshuhudia soko kubwa na linaloendelea kukua la...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
si vibaya leo nikasema historia yangu kidogo kidogo na sijutii wala siogopi kwa kuwa ukweli ni ukweli ni ukweli tu. wakati wengine wakizaliwa hospitalini tena wakati mwingine hospitali kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana aminini kua sikuzote neno huumba.. Moja ya changamoto ambazo zinatukabili vijana ni lugha tutumiazo vijana tunapokua ktk mahusiano suala linalo pelekea udhaifu mkubwa miongoni mwetu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tafadhalini nimwagieni sifa za wanawake wa kikurya kwa wale mnaofahamu.
0 Reactions
61 Replies
34K Views
wazee wa serengeti,ndovu,kilimanjaro,nk. ile tabia ya yenu kutumia hela kila siku mkisema munaweka heshima baa huku nyumbani hamuachi hata hela ya mboga na kuwatesa watoto na wake zenu haijakaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya J3 wana JF Jana jumapili nilikwenda kwa jirani yangu kumsalimia nilipofika nilimkuta yeye na dereva wake wa kazini wote wanalia kuuliza kulikoni jirani yangu akaniambia dereva wake...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Heshima zenu wakuu!! Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili' Kwamtazamo wangu naona chanzo cha wanawake...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani mimi nimgeni humu JF ila ningependa kupata msaada kwa tukio lililomtokea mdogo wangu. Nina mdogo wa kike, 2009 alisema amepata mchumba, katika kuulizwa jamaa yupo vipi amewahi kuoa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi!! .... Nimekua nikijiuliza sana hilo swali (refer heading) Mwenzenu nimekua nikikutana na haya Majanga ya kuambiwa "nimechoka" .... Staki kuoneka malaya hapa! Nimekutana na ke...
0 Reactions
67 Replies
15K Views
^^ Tujadiliane,je siri mbalimbali za wapenzi kuanzia urafiki,uchumba hadi ndoa. Je,kumpata mwenza atunzae siri sana husaidia kuimarisha mahusiano au huyabomoa? ... Kuna siri mf. Za maisha ya...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom