Zyamwelele
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 405
- 155
Heshima zenu wakuu!!
Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili'
Kwamtazamo wangu naona chanzo cha wanawake wengi kuwa wadanganyifu kwenye ndoa au kwenye upenzi chanzo ni kufikishwa kileleni! kwavipi? ndo naelekea huko...
wanawake wengi wa zamani yaani bibi zetu walikuwa hawajui kitu kinaitwa kileleni(climax) na hii ni kutokana na waume zao au mababu zetu kuwa wabinafsi (yaan babu akimaliza haja zake anaona basi) ' asijue kumbe hata bibi anatakiwa kufika kunako' hata hivyo wapo wachache walikuwa wanatimiziwa!!
Sasa basi vizaz vyasasa hata ambaye hajaanza mapenzi anajua kuna kileleni(climax)' hivyo akianza mapenzi na akapata kijana asiejituma anatafuta mtu mbadala ili afike huko'' vivyo hivyo kwa walio kwenye ndoa na wenyewe ikitokea umepiga mzigo kama mara tatu na kuendelea alafu hajafika kunako anaanza kufikilia mbadala ili afikishwe.
Pa1 na hayo yote wapo wachache wanaojitambua na hawaendeshwi na hii (climax)! Je wewe walionaje hili? kuna ukweli wowote hapo?