Wanawake wa Kikurya wana sifa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa Kikurya wana sifa gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jinalako, May 30, 2011.

 1. j

  jinalako Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhalini nimwagieni sifa za wanawake wa kikurya kwa wale mnaofahamu.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  1.wapole
  2.wanapenda kugechwa(kudundwa)
  3.wana akili sana
  4.wavumilivu
  5.awajui kupika....

  ehh jaman m kidng bwana auwez kudicrib mtu kwa kabila lake..waweza kuta mkurya lakn asiwe na sifa ata moja apo juu

  kila bnadamu ana swaga zake.

  nawasilisha..its me nyambura.
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wa JF!

  Kwa nini kila wakati ni sifa za wanawake wa kabila fulani?

  Mbona sio sifa wa wanaume wa kabila fulani?

  This is subordination of women? Hatuendi mbele kila wakati ni sifa wa wanawake?????
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Lazima umchape vibao angalau viwili kwa siku ili ajue unampenda
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kama ilvyo kwa bianadamu ambaye ni kiumbe asiyetabirika. Hawa nao wanatabia tofauti tofauti kama walivyo wanawake kutoka maeneo mengine. Utakuta wapo wapole, wakorofi n.k
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa zamani, we ssa hivi gusa mwili wa Mmama uone kama hutaishia Polish Posht.
   
 7. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mie sio mkurya ila napenda kibao ingalau kimoja kwa mwezi lol
   
 8. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wanakeketwa
   
 9. a

  andry surlbaran Senior Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajeuri
  wabishi
  very rough
  wachapakazi
  they dont care
  hata wapake mkorogo chupa nzima hua una dunda!
  yani wapo wapo tu
   
 10. s

  sawabho JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mbona wanaolewa na makabila mengine? Na hahuwezi kuwatofautisha na wadada wengine!
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  ur question is too general!
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mimi si mkurya, ila nimeishi nao sana. Ni warembo sana. Si watu wa majungu, wana upendo. Labda wanaotoka kijijini ni tofauti, ila wa hapa Dar most of those that I know are real attractive. Tatizo lao kubwa ni kuwa wanatahiriwa. It is so fun kwani hata wa mjini (marafiki zangu) walikuwa wanatahiriwa then wanafanyiwa bonge la sherehe majirani woote tunaalikwa na siyo siri wala nini tena hapa hapa dar!. Hiyo ilikuwa miaka ya 90 sijuhi kama wamehacha au wameamua kujificha. Ila ili suala la kutahiri si wao peke yao nasikia na wachaga na watu wa dodoma, singida pia wanatahiri mabinti. Sasa sijuhi baada ya kutahiriwa performance zao in bed zinakuwaje maana I doubt kama wanaenjoy.
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  May 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Acha ukabilia wewe mwangalie mtu mwenyewe sio kabila lake
   
 14. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  weusi sana,wakorofi,wachapa kazi sn,wataalam 6+ 6,bila kichapo hujampenda
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya upole nakubaliana nalo na ni wavumilivu sana ila wana wivu wakupitiliza..hawachelewi kulia
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  May 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  muraaaaaaaaaaaaaaa
   
 17. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wanatahiriwa,
  hivyo ukioa mkurya ujue utakua unabimiza tu na
  hapati raha yoyote,
  inakuwa ni machine ya kutunfua watoto tu lol
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wachapakaz
  Sio Malayaaa
  Wanajua maana ya kupendwa
  Wana akili sana darasani
  Wanafaa sana jeshin!
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  kwa kipindi nilichoishi musoma naona ni:
  wavumilivu
  wachapakazi
  wana heshima
  hawatumii mkorogo.uzuri wao wa asili
  wakikasirika,usipime,hakukaliki
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Acheni matusi basi
   
Loading...