Kukabiliana na ubishi katika Mahusiano

Kukabiliana na ubishi katika Mahusiano

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Katika kujenga mahusiano ya mapenzi bila shaka kuna wakati ubishi hutokea,iwe katika hatua ya urafiki,uchumba na hata ndoa.
---
Ubishi huweza kutokea katika mambo mbalimbali mfano juu ya muda wa kuwa pamoja kama wapenzi,fedha,simu zisizoeleweka,juu ya watoto,miradi, na hasa ktk mambo madogo madogo n.k
---
Je ipi namna njema ya kukabiliana na ubishi ili kulinda mahusiano?
Je huwa unakabiliana vipi na ubishi mbele ya mpenzi wako?
---
Nawakaribisha wana MMU wote tupeane uzoefu ambao kweli utasaidia kuimarisha maisha ya mapenzi.
Cc
mimi49 Khakhi grafani11 Kibibi Jongo OLESAIDIMU Ablessed Mrembo by Nature Jerrymsigwa Blue G Fixed Point Black Queen venine mwekundu Toria Trust ME saudari Mshinga Munkari Asnam Lady doctor Ndoa Lisa Heaven on earth
Pamoja na wewe ambae sikukutaja
^^
 
Last edited by a moderator:
naweka mizani kichwani kwangu
  • je anachokiamini mwenzangu kina mantiki na kina nia njema ya kufikia malengo yalisababisha huo ubishi?
  • au ninachokiamini mimi ni bora kuliko cha mwenz wangu?
  • nikishapima mizani yangu nikahisi vyote ni sawa basi ntajishusha awe mshindi
  • ikitokea yeye ndo ana makosa na hataki kukubali nitamwangalia na mazungumzo yataishia hapo na sitataka kujadili hicho kitu tena ikiwezekana kila mtu afanye anachoona ni sahihi
  • all in all funika kombe mwanaharamu apite

wakati mwingine inabidi ujishushe ili upate unachokihitaji.
 
Kweli Asnam lakini vipi hali hiyo ikizidi sio kulimbikiza kutoridhwa?
^^
 
Last edited by a moderator:
kuweka attention kwenye hoja za mwenzio huku ukipima uzito wa hoja ulizonazo kwa utulivu ukiweka ubinafsi na biasness pembeni.
 
He mbona swali limekaa kama linahitaji maelezo but worryout.
Muda mwingine tuaminiane tu mdau.
 
He mbona swali limekaa kama linahitaji maelezo but worryout.
Muda mwingine tuaminiane tu mdau.

^^
Ubishi hauna maana hatuaminiani..ila wewe unakabiliana vipi na ubishi...mbele ya mpenzi wako?
^^
 
Cha msingi ni kuwa mvumilivu/wavumilivu kwa yale mnayotaka kufanya.
 
Sio siri inategema mnabishania nini haswa?Wakati mwengine inabidi mmoja kati ya hao wapenzi ajishushe tu ili mufikie makubaliano..
 
unapotekea ubishi, namsikiliza mpenzi wangu nini anasema, na mimi ninamueleza fikra zangu alafu kwa vile sisi wote ni watu wazima tunakaa chini na kupima na kutolea maamuzi ambayo tunafikiri yataboresha zaidi uhusiano wetu
 
Kama ulivyouliza ubishi unapozuka nakabiliana nao hivi. Huwa sipendi kubishana na mara zote nachukua nafac ya chini yaani nakua mpole. Mwisho kabisa nikiona mwenzangu yupo sawa basi naomba anieleze kwa upya huenda mimi sikumuelewa na hapo hapo ikibidi au kama kuna ulazima basi na mimi natoa mawazo yangu , halafu tunapima kipi tufanye. Wakati mwingine sio rahisi kufikia muafaka hapo mmoja wetu inabidi akubaliane na jambo hilo japo kwa shingo upande na mnaweza kupata hasara kubwa, itokeapo hasara si wakati wa kukumbushana mitazamo yenu ni wakati wa ku admit kosa na kusonga mbele. Tukumbuke maisha yamejaa sacrifices so na hii ni moja wapo.
 
Cha msingi ni kuwa mvumilivu/wavumilivu kwa yale mnayotaka kufanya.

^^
awp
Vipi ukimya unaoungeleaje? Unaweza kutatua ubishi
^^
 
Last edited by a moderator:
Kama ulivyouliza ubishi unapozuka nakabiliana nao hivi. Huwa sipendi kubishana na mara zote nachukua nafac ya chini yaani nakua mpole. Mwisho kabisa nikiona mwenzangu yupo sawa basi naomba anieleze kwa upya huenda mimi sikumuelewa na hapo hapo ikibidi au kama kuna ulazima basi na mimi natoa mawazo yangu , halafu tunapima kipi tufanye. Wakati mwingine sio rahisi kufikia muafaka hapo mmoja wetu inabidi akubaliane na jambo hilo japo kwa shingo upande na mnaweza kupata hasara kubwa, itokeapo hasara si wakati wa kukumbushana mitazamo yenu ni wakati wa ku admit kosa na kusonga mbele. Tukumbuke maisha yamejaa sacrifices so na hii ni moja wapo.

^^
Inakuaje kwa wale ambao,hata baada ya kutulizana bado wanaamini wao wana FINAL SAY je,utakubali yaishe tu? Sio kuwa unakoseshwa haki ya kusikilizwa?
^^
 
^^
Inakuaje kwa wale ambao,hata baada ya kutulizana bado wanaamini wao wana FINAL SAY je,utakubali yaishe tu? Sio kuwa unakoseshwa haki ya kusikilizwa?
^^
Hahahahaha Kama naishi na mtu wa aina hiyo nitampa nafac anayoipenda ili ajisikie furaha. Kumbuka siwezi kukoseshwa haki ya kusikilizwa nitaitafuta tu tena kwa amani na nitaipata pasipo kumuumiza mwenzangu. Unajua haiwezekanani kila siku kuwa hamsikilizani na ikitokea hivyo basi hammechi inawapasa kutafuta njia mbadala ya kuelewana. Ubishani kwenye mahusiano upo na msipoangalia unaweza kuivunja ndoa yenu hivyo ni vizuri kujifunza tekiniki za kuishi na mbishi .
 
hakuna muafaka mzuri usiokuwa na upinzani bishano zuri ndio mtaishia pabaya lawama
 
Hakuna kitu kibaya katika mapenzi kama kubishana kwa maana hamtapata suluhisho zuri sana sana ni mmoja mwenye hekima aamue kunyamaza huku moyoni abaki na maamuzi yake.

Jambo la kuzingatia ni kupingana kwa hoja sio kubishana. ukiona mwenzako haelewi kupinga kwa hoja bali amebakia kubisha tu, ni bora ukaelekeza nguvu zako kwenye kukaa kimya.
 
Ukiona mtu anabisha basi elewa kuwa anajua kitu akibishiacho.
 
Mazungumzo yanapotaka kugeuka na kuwa ubishani kwanza ni positive ka sababu tayari kuna dialogue ambayo ni chachu kubwa sana kwa mahusiano!!!!!

Sasa mara nyingi ubishi huja na sauti kupanda maadam mnafahamiana vizuri ukianza kuhisi mwenzako anapanda kwanza mu alert like; mamy hapa ni mimi na wewe tu ukiongea kwa sauti ya chini naelewa pia please!!!!

Sio akipanda nawe unapanda aaaaaanh hiyo ni kijiweni sasa!!!

The best way ya kukabiliana na ubishi ni kuwa msikivu kuliko kubwatuka word after word,na kila akimaliza point yake we piga swali moja muruwaaa huku ukimuelekeza kwenye hoja yako!!! So wakati anabisha at the same time anameza na hoja zako through questions,mpe ample time mpaka amalize huku ukiwa makini kama ni points au just wishes.

Akimaliza nawe zungumza kwa utaratibu na kwa mifano!!!!

Akiwa mtata sana omba juice,chai hata kuoga kwanza hapo you get time to think thoroughly maana kuna kipindi mzee mzima unabanwa!!!! Hoja juu ya hoja sasa you take time off in those lines.
 
Back
Top Bottom