silent treatment sucks like hell

silent treatment sucks like hell

chimala

Senior Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
174
Reaction score
60
ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,
 
Kimyaa kingi kina mshindo, na wewe kaa kimya as far as makubaliano yenu yalikuwa btn the two.
 
ke Husninyo

hebu tafta namna yoyote ujue kama ni mzima au lah, ukishajua kuwa bado anapumua na yupo mzima hana hata kipele basi na wewe chuna zako kimyaa utafte ustaarabu mwingine. usimlaumu kwanza pengine yupo kwenye matatizo.
 
Simu sijui meseji matwita yenu hayo ndio yanawafanya muwe kama mbwiga!!!!

Mnaoana nyie so ni suala la wewe na yeye physically!!!!!!

Muibukie laivu tena ghafla bin vuu utajua yooooooote ila uwe na uwezo wa kuhimili yatokanayo!!!!!
 
tunaishi mikoa tofauti, na hapa job hata kutoroka weekend moja siwezi, nimebanana, likizo yenyewe mpaka mwezi wa kumi si ntakufa jamani, maumivu ni makali mpaka basi
 
hebu tafta namna yoyote ujue kama ni mzima au lah, ukishajua kuwa bado anapumua na yupo mzima hana hata kipele basi na wewe chuna zako kimyaa utafte ustaarabu mwingine. usimlaumu kwanza pengine yupo kwenye matatizo.

thank you, tunaishi mikoa tofauti, na kutoka hapa ni mpaka nipate likizo ambayo ni mwezi wa kumi, ila sijui jinsi ya kudeal na hii situation mpaka hapo nitakapo pata muda wa kuonana nae in person
 
kuna ndugu au jamaa zake wa karibu ambao una mawasiliano nao?
 
As long as he's alive and kicking ....nawe piga kimya tu...siku moja haitesi!!!
 
mim nadhani kama mlingea mipango yenu na utekelezaji wake haukuwa wa haraka kihivyo isikusumbue!! piga moyo konde uone ataendelea kuwa kimya au la? ila sikushauri kumfuata huko aliko maana huwezi jua kwann yupo kimya. pole!!
 
ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,
ambaye hapokei simu au hajibu chochote ni ke/me nijibu nitakushauri
kama ni ME---jua kwamba umeliwa alikuwa ana shida ya mzigo na khabari hizo za ndoa hataki wala kusikia
kama ni KE---jua kwamba wewe mwanaume ulikuwa ni spear tyre ambayo ina pancha yakudumu
hii ni kwa uzoefu wangu
 
ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,
Mahusiano yenu yamemudu kwa mda gani? Ni yeye aliyeanzisha topic ya ndoa au wewe? Kama ni wewe, kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa she was caught up in the moment...na sasa yuko katika kutafakari kama ni kweli yuko tayari. Either way, piga moyo konde..if its not meant to be....then someone else will come along
 
Back
Top Bottom