Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

DEEP POWER OF GIVING Ni binti mdogo na yupo hospitali kumuuguza baba yake ambaye kwa sasa ni mzee sana na nguvu ya kufanya kazi imepungua. Ili baba yake atibiwe inahitajika kiasi kikubwa cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hop mko vizuri wana bodiiii...mungu awape upeo ktk hili pia.. Katika dunia ya sasa mambo mengi yamebadirika sana hususani ktk maisha ya mapenzi na ndoa... Now days ushirikina umekua kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika hali yoyote ile mkato (SHORT CUT) huwa ni mfumo unaohitajika kwa kila mtu! Katika hali halisi ya mapenzi ya siku hizi, ukitaka kumpata mzenzi wa kweli itakughalimu sana na wakati mwingine...
11 Reactions
89 Replies
10K Views
Ndugu zanguni wana MMU mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa DAR tangu nikiwa na umri mdogo namaanisha tangu nikiwa shule ya msingi darasa la kwanza...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Shikamoni wakubwa wote, na wadogo mambo? Mimi ni kijana nasoma kidato cha sita, nilishawahi kuwa na mpenzi nikiwa o level kwa bahati nzuri au mbaya ujana ulimzidi tukaachana nikawa nimeamua...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MAMBO?NAITWA IBRA NATAFUTA RAFIKI WA KIKE SI MPENZ ALIE TAYAR NITAFUTE KWA 0783462764 na 0759504401 kunipat ni sa 6usiku
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siri gani ambayo umeificha moyoni mwako ambayo hutakuja kumwambia mwenzi wako,na unahisi ukimwambia tu ndoa/uhusiano inakufa/unakufa siku hiyo hiyo.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu JF........ Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa. Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji...
16 Reactions
385 Replies
28K Views
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hop mko poa sana waungwana ktk siku hii ya leo na mungu azidi kuwabariki.. Waungwana najua humu ndani MMU tunajifunza mengi sana japo mafunzo mengne hutumia lugha kali lakini yote hii...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari wana MMU? Ushuhuda wa rafiki yangu. Katika pita pita zangu huko vitandani nimebahatika kutatua mademu kadhaa wenye fani tofauti tofauti za kazi. Kwa mfano, nimewahi kula uroda na...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Wana MMU hii ipo serious kiasi gani? Na kuna yeyote ambaye ameshakamatishwa na hii habari?
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni kuanzisha hisia za mapenzi kwa mwenzi(mwanamke),na hali huna lengo la kumpenda,tafadhali itizame attached picture/document!
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Habari zenyuuuuu!! Ni muda mrefu sasa tangu wana-MMU kushuhudia mahojiano murua kabisa juu ya personal life experiences ya baadhi ya watu hapa jukwaani. Mahojiano Yale,bila kumung'unya maneno kwa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanajamvi, hivi kuna maana yeyote kwa mwanamke kubadili jina lake la ubini na kuitwa kwa jina la ubini wa mume?? je kwakufaya hivyo inamaana kwamba wzazi wa watoto wa kike hawana sifa waipatayo...
5 Reactions
157 Replies
12K Views
Wana JF habari za jioni! Leo nimeamua kujitokeza hadharani kueleza yaliyo moyoni mwangu maana nimefikiri nimwulize nani bila kupata majibu. Story ipo hivi,Mimi nimehamia hapa Arusha tangu mwaka...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
  • Closed
nina mpenzi wangu, ambaye nimempata hivi karibuni, kama mwezi 1 umepita, j5 iliyo pita ndo ilikuwa mara ya 1 kufanya nae mapenzi. lakini cha ajabu ananilazimisha tufanye kinyume na maumbile lakini...
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Imekua kawaida kwa binadamu mara nyingi kukumbuku kitu chake cha kwanza kutumia ama kufanya, Naamini kabisa wengi wenu mnakumbuka vitu kama Mpenzi wako wa kwanza kulala nae, Simu yako ya kwanza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau....nilikua na sugar mamy moja ivi mitaa ya tandika. Kusema ukweli likikua likinifadhili mambo mengi. Lakin kutokana na tabia yake ya mawivu ya kijinga na kujifanya kunibana...kila time niwe...
1 Reactions
86 Replies
6K Views
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE...
0 Reactions
158 Replies
13K Views
Back
Top Bottom