Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

princessita

Member
Aug 19, 2013
21
6
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.

Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?

Wanajamvi saidia mimi niko dilema
 
shosti mjini hapa utakuta anawaza akimuacha kodi ya nyumba ataitoa wapi so inabidi afe na tai shingoni
Sijaona cha kukufanya uwe dillema........kwasababu majibu ya kila swali unayo wewe................

what is so special about you hadi amuache huyo mwanamke kwa sababu zisizoeleweka........
kwa kawaida mwanaume unayetaka akuoe huwezi kumvumilia hayo unless liwe lizombie.
 
jiongeze wewe!!! Bora yake kalipiwa mahari .wewe hata centi hutoiona !! Muepuke kama ukoma!!
 
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.

Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?

Wanajamvi saidia mimi niko dilema
Samahani lakini...etii wewe ni mhamiaji hapa tz?? ..uandishi mmmhhh
 
shosti mjini hapa utakuta anawaza akimuacha kodi ya nyumba ataitoa wapi so inabidi afe na tai shingoni
kwa kawaida mwanaume unayetaka akuoe huwezi kumvumilia hayo unless liwe lizombie.

hapo ndipo unapojiuliza huyo mwanaume ulizaliwa nae kwamba akupe hizo dilema

kila kitu kiko wazi kuwa wewe hatakiwi otherwise unless asubiri alipiwe hiyo

kodi then akisanzue kimoja
 
Hivi mbona nie mnapenda kudanganywa? Mnadanywa danganganywa tu...mi sijui mme unaemtaka..nisemeje sasa, nipm harafu ndo tuanzie hapo uone kama utajuta
 
hata hili unauliza?...mbona liko wazi,kimbia huyo anataka kukung`uta tu
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.

Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?

Wanajamvi saidia mimi niko dilema
 
Hata bandiko hutoka sembuse mwanadamu!!! Wewe endelea kumng'ang'ania nashida zako kwani yupo mwenyewe?Mbona wapo wengi wanao weza kukutuliza kama mimi hapa.

Ahahahaaaaaa!!!! JF raha sana jamani naipenda mimi.
 
Mwanamke asie elewa thamani ya Utu wake na Papuchi yake,huwa nawaonea huruma sana mmoja wapo ni wewe
 
acha kujpa stress za bure ww unalazmishwa uwe nae au? ww angalia mbele utafute maisha..ila km unataka umpanulie mapaja kidogo basi,unga folen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom