Mwanzoni nilifikiri perhaps ni kwa vijana wadogo (boys) hususani wale tunawaita marioo lakini nimeshtuka pia kukumbana na hii changamoto kwa watu wa rika langu. Hapa nazungumzia change of tone...
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka...
Hebu angalia hii Video na wewe useme maneno yako ewe mwana MMU.
Sidhani kama siku hii Pique alikumbuka hata SemKondoM ilipo maana........
Jamaa atakuwa nusu Mpingo huyu.
bla shaka muwazma wa afya
ISOME HII KISHA UITAFAKARI
Mtu mmoja maarufu alisema"maisha yangu mazur yalkuwa juu ya mikono salama ya mwanamke,ambaye hakuwa mke wangu" watu wakashangaa na kubaki...
salam kwa wote,.......wana Jf ushauri.....nina boyfriend ambae me na ye tunapendana sana....lyk vry inlove bt i have offred myself to my boyfriend more than twice i mean been to bed together..ts...
Wasalaam..
Nitaenda straight kwny mada.
Wakati tuko undergraduate mkoa huu,nligundua classmate wangu ni muathirika wa ukimwi yani she's HIV+.
Nilijuaje?
Kaka yangu ni Daktari yuko...
"kuchelewa kuoa ni hatari zaidi mana unapochelewa kuoa na hata kuzaa unachelewa pia.
kwa mwanaume miaka kati ya 25 mpaka 35 ndio miaka ya kutafuta na kama hapa utapita hujafanikiwa kwa kiasi...
Hili ni swali tata kwangu,mtu anakubwaga sijui anakumimina kama maji na anaondoka zake kumaanisha hakupendi tena,cha ajabu baada ya muda anarudi kwa gia namba moja wakati aliondoka kwa gia namba...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimejirizisha pasipo shaka yoyote kuwa reasoning na logic kwenye mapenzi haina nafasi! Mpenzio atataka tu ufanye kitu anachojisikia yeye...
Kuachana na mtu ambaye unampenda ki ukweli inaumiza sana. Wengine kati yatu awakuamini kabisa kwa siku kadhaa huku wakiwa wanabubujikwa na machozi, usingizi awaupati na maswahibu mengi.
Mwana...
Yaani zinawagasigasi,wengine wanatamani hata kujipa likizo kuzivaa.
Wengine wanajilaumu wanapoambiwa "wewe si una pete ya ndoa"
wanabaki kujilaumu na kuzilaani pete kwa kuwabana.
Kwa kiasi...
WAKUU wa itifaki laddies and gentlemen....sana sana laddies.katika hawa watatu utapenda kutoka na yupi katika scenario hizi 1.hb,smart yani good looking,kipato kizuri,kila ukipita nae unachukua...
Wana jamvi..
Binamu yangu ambaye tumekua tukipendana kindugu, anataka nifanye nae... Iko hivi:-
Yeye kaolewa mi sijaoa, ana mtoto wa 1yr. Dadalili akija geto kwangu, huwa anataka tukae...
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika...
A new element added to PERIODIC TABLE :
Name: Girl
Symbol: Gl
Atomic weight: Don't even dare to ask.
Physical properties:
1. Boils at any temp & time,
2. Melts when handled with love and...
Kwa wanaume wenye tatizo la kupiga bao moja tuu,chali,hurudii tena au unarudia kimazabezabe baada ya masaa 3,tumia tiba ya asili ambayo ni chakula pia,kula ndizi mbivu..Nilikuwa na shida...
Habari ya kushinda wakuu,haya ni makundi ya wanawake matata
pindi unapochukua namba ili kuwatokea
KUNDI LA 1
kuna wadada hatari a.k.a pasua vichwa, hawa watu ni balaa siku ya kwanza...
Salaam Wakuu!
Mara nyingi huwa nashindwa kutoshangaa, kwanini wengi wa ladies hupenda kutoa very cheap items kwa rafiki zao wa kiume!
Ladies hupenda kutoa zawadi kama hizi kwa rafiki zao wa...
Ilikuwa siku kama ya leo nilikuwa natokea Kampala,sasa kuna mkaka mmoja alikuwa anakuja Dar ila basi likawa limejaa full..akaomba hata asimame alikuwa na dharura basi kwenye basi wakawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.