Yaani zinawagasigasi,wengine wanatamani hata kujipa likizo kuzivaa.
Wengine wanajilaumu wanapoambiwa "wewe si una pete ya ndoa"
wanabaki kujilaumu na kuzilaani pete kwa kuwabana.
Kwa kiasi fulani pete zinasaidia kufukuza wezi.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.