Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

Rafki yangu anamdate muathirika.Nimwambie?

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Wasalaam..
Nitaenda straight kwny mada.
Wakati tuko undergraduate mkoa huu,nligundua classmate wangu ni muathirika wa ukimwi yani she's HIV+.

Nilijuaje?
Kaka yangu ni Daktari yuko hospitali ya mkoa. Alinitahadharisha akisema anajua naweza kuwa natoka na mademu darasani kwangu.Akaniambia nisithubutu kutoka na xx sababu yeye anamjua ni mgonjwa wake na ameathirika. Na anajua the said xx anasoma kozi yangu mwaka wa pili kama mimi.I thus should've been warned and advised accordingly.

Huyo Binti xx
Yeye huyo binti alikuwa anaishi offcampus kawekwa kinyumba yani 'come-we-stay' na anthr dude alikua anasoma education. I took caution bt didnt tell anyone else coz sikutaka kuingilia maisha yake binafsi. However,rumours had it kuwa alikua anadate wanaume tofauti kwa wakati mmoja. Hasa wale mapapaa wa makampuni makubwa km ya simu na mabenki.Alikua ni kicheche dizaini aliamua kusambaza may be. I had sm incidents we bumped into each othr me and her those were a red flag too

Rafiki yangu sasa
Sasa juzi rafki yangu wa muda mrefu(tumwite 'yy') alikuwaga mbele yetu amerudi toka masomoni SA alipokuwa akifanya shahada ya uzamili baada ya kubakishwa kama tutorial assistant.

Huyu jamaa kanipigia simu kuwa anamdate my former classmate.So anataka kujua km yuko poa maoni yangu.You knw,due dilligence search. The dude alikuaga goodboy so ako so proud ukimskia kwamba kaopoa msomi na anakazi nzuri. In his words,'learned and independent'.
Nkamuuliza my classmate yupi,ndo akamtaja huyo xx.
My heart skipped a bit,i almost died of of cardiovascular arrest.
"xx the HIV+ slut?,"i queried inwardly.

Point is,this dude has been seing xx for sm time nw almst a year and it's only nw he wants my opinion.
I'm in dillema whether or not to divulge what i know and believe to be the truth. Lakini pia i am thinking,sio jukumu langu kumwambia am being nosy. Plus in the event i choose to spill the beans,won't it be overtaken by events alrdy hence useless? coz He's been seing her for like months nw?

Ungekuwa wewe ndo mimi ungefanyaje?
 
We mshauri rafik yako amshawish girl friend wake wakapime. Na huko ndiyo atajuwa ukweli kwani hata ukimwambia hatakuamini.
 
Ningemwambia ukweli.....Na kama wewe ndio ungekuwa rafiki wa rafikiyo na unamdate huyo muathirika ungependa akufiche ukweli au akwambie!? Tena wala usipoteze muda kumwambia.
 
Nia yako Mtundu Kisu ni njema sana, ila angalia jinsi utakavyofikisha ujumbe. Usipomwambia kabisa nafsi yako itakulaumu kila uchwao. Na ukiingia kichwa kichwa ataenda kumwambia eti watu wanasema wewe ni muathirika(uwezekano huo upo) si unajua tena mapenzi yakikolea. Ila we tumia busara ulizopewa na Mungu kumfikishia ujumbe kwa njia either ya fumbo au yoyoye utakayoona inafaa kulingana na mazingira. Ila its better to let him know.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza huyo kakaako kavunja sheria za kikazi,haruhusiwi kutoa habari za wagonjwa kwa mtu yoyote!Na wewe hata ukimwambia sasa itakusaidia nini na keshatoka nae mwaka mzima?Ingekuwa ndo anaanza kumdate ungeweza kuokoa jahazi!!Labda mshauri wakapime ukimwi kama anataka kuwa serious nae kwasababu magonjwa mengi sasa,kisha watajua huko mbele kwa mbele!!
 
mwambie ukweli maana usipo sema una muangamiza.
 
Si kakuuliza mwenyewe?!!!!
Usipomwambia una roo mbaya!

The dude is so soft. Might send hm to an early grave. Might commit suicide. One way ticket to the hereafter. What with all years of hardwork down the drain.
 
rafik yako ni msomi anajua zuri na baya huenda walikuwa wanatumia mipira try ur level best tell him what you have in you are mind i mean the truth!!!!
whatever happen and for any impact come to occur it is up to him!!!
 
Kama unaona kutomwambia kutakupa peace of mind, usimwambie.
Lakini na wewe usimkazie sana binti wa Watu, kuna maelf wana HIV+ na hatuwajui. Jambo la msingi mpe pia
tahadhari kwa wengine hata kama hatimaye hatam-date huyo binti.
 
Kama unaona kutomwambia kutakupa peace of mind, usimwambie.
Lakini na wewe usimkazie sana binti wa Watu, kuna maelf wana HIV+ na hatuwajui. Jambo la msingi mpe pia
tahadhari kwa wengine hata kama hatimaye hatam-date huyo binti.

eh,kivipi?
 
Usifanye mchezo mgumu!
Yeye kakuuliza kwa sababu zake! Huenda kaona dalili flani flani!!!!
Kukurupuka haitakiwi! But huyu kakuuliza mwenyewe!
Sidhani kama utakua hatiani kwa Mungu, Serikali na hata watu waliokuzunguka!!!!!
Hii chelewachelewa yako, itakuchongea! Yap! Coz mwisho wa siku ni lazima ataelewa tu!!!
Just take ur duty!!!!!
What u are doing now is purely NEGLIGENCY!!!!!!
...
Ask urself why many members told u to tell him is crutial thing??!!

The dude is so soft. Might send hm to an early grave. Might commit suicide. One way ticket to the hereafter. What with all years of hardwork down the drain.
 
mshauri amshauri uyo dada wakapime aone ata react vipi? Duh ila kama wanazaidi ya mwaka ndo leo anakuomba ushauri kwanini hakukuomba ushauri B4? Lazma ujiulize why now
 
Back
Top Bottom