Nahisi nampenda mtu ambae hayupo!

Nahisi nampenda mtu ambae hayupo!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Ilikuwa siku kama ya leo nilikuwa natokea Kampala,sasa kuna mkaka mmoja alikuwa anakuja Dar ila basi likawa limejaa full..akaomba hata asimame alikuwa na dharura basi kwenye basi wakawa wamemkubalia.

Basi yule mkaka akaja akasimama karibu na mimi,tumeeenda wee nikaamua kumpisha nisimame apumzike kidogo.Basi tukafanya hivo hadi nilipofika Moshi kesho yake mida ya saa tano hivi nikashuka nikamuachia siti!

Mimi sikuwa na simu kipindi hicho ila yeye alikuwa nayo ila nikampa no ya sister! sikuchukua no yake!

Kuna siku sister aliniambia kuna mtu anamsumbua sijui anaitwa Chada anakutafuta nikamwambia anipe no akasema ameidelete !

Ni miaka kumi imepita i wish ningekutana na yule kaka! still image yake ipo kichwani mwangu,maybe angekuwepo nisingekuwa hivi!

SIJUI HUWA ANANIKUMBUKA?
 
Chada mtafute Facebook na Twitter kwa hilo jina! You never know maybe the gods may be on your side!
 
yaani kumbe ni weweee? hata mie nakukumbuka sana!! Ila nimesha pata wa maisha, pole sana.

:disapointed:
SP
 
ilikuwa siku kama ya leo nilikuwa natokea kampala... sasa kuna mkaka mmoja alikuwa anakuja dar ila basi likawa limejaa full..akaomba hata asimame alikuwa na dharura basi kwenye basi wakawa wamemkubalia.
basi yule mkaka akaja akasimama karibu na mimi .. tumeeenda wee nikaamua kumpisha nisimame apumzike kidogo ....
basi tukafanya hivo hadi nilipofika moshi kesho yake mida ya saa tano hivi nikashuka nikamuachia siti!
mimi sikuwa na simu kipindi hicho ila yeye alikuwa nayo ila nikampa no ya sister! sikuchukua no yake!
kuna siku sister aliniambia kuna mtu anamsumbua sijui anaitwa chada anakutafuta nikamwambia anipe no akasema ameidelete !
ni miaka kumi imepita i wish ningekutana na yule kaka! still image yake ipo kichwani mwangu ...maybe angekuwepo nisingekuwa hivi!
SIJUI HUWA ANANIKUMBUKA

Hivi kumbe ni wewe. Yaani nilikutafuta kweli kwenye ile namba ya sister. Nafurahi kama bado unanikumbuka..ndio mimi hapa.🙂
 
kuna mimama ya kufa mtu huku pm nikuforwadie?

Hebu fanya chapchap sana nifanye ukaguzi then nikushauri nani anamfaa dingi yetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
chada mtafute facebook na twitter kwa hilo jina! You never know maybe the gods may be on your side!
ujue enzi hizo nilikuwa na aibu sana . Alivoniambia jina lake sikusikia vizuri so am not sure if its chada or chacha yaani sielewi! Nilishawai kucheki ila nikimuona naweza kumkumbuka ..alikuwa tall black mzuri kweli kweli !
 
hebu fanya chapchap sana nifanye ukaguzi then nikushauri nani anamfaa dingi yetu.

Vigezo na masharti kuzingatiwa
aisee hii ni mitambo ya nyuklia mdingi atarest in peace kabla ya muda! Khaaa hapana tuachane nao
 
Back
Top Bottom