nimemit na my x b/friend

nimemit na my x b/friend

Status
Not open for further replies.

Mankaa

Senior Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
156
Reaction score
49
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor
Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??
 
Mankaa wewe unaonekana zimekupanda ny......e,kampe tu hiyo K..... kabisa,haina makombo hiyo,kama halua.
 
Ha ha ha, akafurahi yeye hadi na wewe ukafurahi?

Hahah afu anaomba ushauri kama akafurahi naye kwenye dinner hotelini. Why not lunch kwenye mgahawa?

Nways ndoa za siku hizi ni bora liende.
 
Huu mwandiko mbona kama wa binti yangu mdogo wa mwisho ndio kwanza kamaliza STD 7...
 
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor
Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??

Mpigie mumeo umwambie hayo yote. Atakachokujibu rudi tukushauri vizuri sasa.
 
Nna 24 nmeolewa 1 year ago

Boifrend mmepotezana mwaka moja uliopita, ndoa mmefunga mwaka mmoja uliopita. Kwa hesabu za haraka kuna kipindi ulikuwa unamegwa na wote wawili. Kilichokufanya ukaamua kuolewa na mme usiompenda ni nini hasa?
 
Mume wangu nampenda na huyo kijana nlikuwa nampenda cz alikuwa mate wangu.
 
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor
Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??

Lazima akulapua wewe, na jamaa litasimamia kucha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom