Okoa ndoa/uhusiano wako

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Kwa wanaume wenye tatizo la kupiga bao moja tuu,chali,hurudii tena au unarudia kimazabezabe baada ya masaa 3,tumia tiba ya asili ambayo ni chakula pia,kula ndizi mbivu..Nilikuwa na shida hiyo,nikaanza kutumia ndizi,tunda,kwa kweli nilishangaa sana,nlimpa mpenzi wangu bao kama 5,hivi,sikuendelea tena kwa kuwa nilimuonea huruma,maana haokuwa starehe tena,ndizi si gharama kula tu,utatoa ushuhuda hapa,kilichonifurahisha zaidi ni baada ya bao la kwanza,mzee hakulala,mama kajiosha osha,nokaunga bao la pili mzee,daa bibie full kunichekea chekea tu,nafaidi vyangu,napewa hadi vya uvunguni,ndizi oyeeee
 
Mambo haya hayahitaji ndizi wala nini
Mkuu ukiwa hapa jukwaani ni mambo
mengi huongelewa mara hiki mara kile


Kama usawa unagonga mzigo tu huna
haja ya kuumiza kichwa,zaidi ni Imani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom