Dada yangu anataka nimpe mambo..

Dada yangu anataka nimpe mambo..

Status
Not open for further replies.

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
96
Wana jamvi..
Binamu yangu ambaye tumekua tukipendana kindugu, anataka nifanye nae... Iko hivi:-

Yeye kaolewa mi sijaoa, ana mtoto wa 1yr. Dadalili akija geto kwangu, huwa anataka tukae kitandani na hatimae hujilaza. Juzi shemeji alisafiri kaenda mkoani kikazi, akaomba nkalale kwa ajili ya ulinzi, nkaenda. Nilipoenda kulala alikuja, na mie nilikua na kazi naifanya kwenye laptop,, akaja akaomba nimuwekee muvi.., akajichagulia muvi iitwayo "i split on ur grave" ndani yake kuna malove..., nkashangaa kanipandishia mguu, nkamwangalia naona analembua. Nkamwomba akalale kwake maana alintamanisha, akaenda. Alipofika room kwake akani sms, anataka aje alale kwangu, nikamkatalia. Nimfanyaje, na mi sipendi tu do?
 
Wote mnaonekana mafisi! Na mnatamaniana kitambo na si ajabu mshatomasana tomasana huko...fanyeni kabisa mkaribishe laana nyumbani!
 
Jamani noma.. Vinakatikiaga. Mto wa anti kabisa... Namheshimu sana..
 
Wote mnaonekana mafisi! Na mnatamaniana kitambo na si ajabu mshatomasana tomasana huko...fanyeni kabisa mkaribishe laana nyumbani!

Hatujafanya hvyo,, huwa tunaangaliana tu. Ingekea hivyo nisingemwacha
 
Hakuna mwenye utimamu kati yenu.
Sikutegemea swali kama hili.
Upuuzi
 
Kama ni mtu unayemwamini Mungu!kimbi hicho kishawishi kabisa na usijaribu hiyo dhambi! Maana hapo utakuwa umefanya dhambi tatu at per!
1- kubwa kabisa..umetembea na mke wa mtu..kumbuka mke wa mtu ni sumu mbaya na inaua.
2- umevunja amri ya sita ya Mungu...kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa..

3-Umetembea na ndugu yako!

Please stop that! Najua wanaume tulivyo we mwenyewe unamtamani tu ...kila ukiangali kiuno,ziwa saa 6..paja linawaka..unachanganyikiwa kabisa!
 
......pouwa tu, she is "Jennifer" na wewe chagua character wa hiyo movie kujijua mwisho wako utakuwa kama wa " mathew," "stanley,""johnny," au "andy!"
 
Naumia sana ninaposikia mtu ajaoa anauliza swali amle mke wa mwenzie!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom