Katika tafiti zangu nimegundua asilimia kubwa ya uzuri wa mwanamke unaendana na jina alilopewa utotoni,,kifupi sijawahi kuona nancy mbaya,,au irene mbaya,,au michel mbaya,,au sabrina mbaya,,au...
Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.
NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;
Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa...
Kila nikisoma jukwaa hili najiuliza hivi kuna watu waliowahi kukutana tu jf wakafahamiana na baadae wakajuana na hata kufunga ndoa? sometimes naamini hii inawezekana lakini nataka watu waliopitia...
Nilitokea kumpenda dada mmoja wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila mama zao mbali mbali ila...
Ni stori ya ukweli,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kila siku alikuwa anapitia getoni kwangu usiku anakula baada ya hapo ananiambia nimsindikize anaenda kulala kwa shangazi yake.Nilifanya hivyo...
Wadau mara kadhaa nimejitokeza hapa JF kutafuta wachumba lakini matokeo yake ni DISASTER tupu maaana nimekutana na vitimbi vya hatari ikiwamo kukutana na Visirani, Gold Diggers,vijizi & Matapeli...
Kwa mapenzi ya MUNGU nitafunga ndoa mwezi Novemba katikati na mchumba wangu wa siku nyingi. Moja kati ya watu ambao sintataka wahudhurie katika shughuli zote za harusi...
1.kujifanya bize muda wa kuanza mech.
2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake
3.kuleta matukio ya kazini kwake home.
4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara
5.kupekua cm ya mmewe...
Habarini wana Jamvi.
Baada ya salamu hiyo naomba mnitoe wasiwasi kama sio tamaa.
Jamani wanajukwaa,eti ni kweli kuwa wanawake wanene ni watamu kuliko wembamba...binafsi sina uzoefu na hawa...
Japokuwa Mapenzi ya siku hizi yamekuwa shubiri Usikate tamaa, tambua kwamba
Ipo siku utanyamazishwa na utaheshimiwa, Mungu atapokukutanisha na aliyeandaliwa kwa ajili yako
Wapendwa, habarini zenu? Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya wa 2011. Sikupata nafasi ya kuwaambia hivyo kutokana na kutingwa na mambo mengi.
Pia, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuruni wote...
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa...
Kuna hili swala wana MMU nimekuwa nikijaribu kulifikiriauzito wake na application yake;
Maandiko yanasema mwanaume ampende mke wake na mwanaumeamuheshimu mume wake .
Na kwa utafiti wangu wa...
Usiku wa jana nikiwa fiesta backstage na boss wangu.
nilishangaa kuitwa na watu 3 tofaut kwa nyakat tofauti.
ambapo wote walianza kwa kuniuliza ikiwa mimi ndie Heaven wa jf
ilipokuwa ikitajwa...
Unafika club! Unamuona mpenzi wako kabla hajakuona unampigia simu:-
Wewe: Hi daring
Yeye: Hi dear
Wewe: what are you doing?
Yeye: Nothing much, ‘em really tired. Just going...
Nimejifunza hili kutoka kwa wanaume kadhaa kwamba huwa hawataki kusikia wanapoambiwa kitu iwe na wazazi wao au wake zao mpaka wanapopata matatizo makubwa. Sijui kwanini, vitu vingine vinaeleweka...
A.salaam wanajf..
Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana...
KWA HISANI YA Danguro la uchi la wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Dar lafumuliwa - Bongonews 24™
Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...
May the Lord connect you to a right woman,.A woman who will not waste your money, time or energy,.A woman who will influence you positively,.A woman who will love and respect you even when your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.