Wanawake tukaze buti bila woga

Wanawake tukaze buti bila woga

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki,

Hata nashindwa nianzie wapi jinsi hili jukwaa lililovyoharibiwa na kuvurugwa, kisha kupondwapondwa kwa watu wachache wenye kutaka kujitafutia umaarufu wa kijiefu humu mjengoni.

Imenibidi nisema japo kwa kuhemahema kwani nimeborekaje?yaani mpaka tunaona twende kuamba ngoma, kule siasani
kwa ajili ya kuvunjwa kwa miiko / mila na tamaduni za MMU kinachoniudhi zaidi ni hawa MAKAKA, WANAUME, wasivyo na haya kazi yao kubwa humu ni kusema hovyo utafikiri wametiwa MORTA kwenye midomo yao kuwasema WANAWAKE SANA tumewakoseani mpaka mnajisasambua kama KARANGA kwa kuandika mambo ambayo mnatudhalilisha na kutuboa sisi.

Kwani hayako mambo mazuri ambayo yapasa kusifiwa na kuandikwa humu mjengoni? kazi yenu kuzungumzia mambo ya kijinga yasiyofaa na kusema DADA zetu jirekebisheni hivi mara vile yaani kero sana Na wengine wanathubutu kuandika WANAWAKE wa KABILA fulani bwana hawapaswi kuolewa? hiyo yote ya nini MKAKA huna jipya la kuongea mpaka utaje kabila sijui nini vile; mmeniboa ndo maana nimeona niweke uzi huu kuwasema kwa tabia hiyo siyo njema, kwani
watanzania tunapendana na tunajaliana na kuheshimiana punguzeni mafitiniti hayo hayampendezi Mungu kabisa TUPENDANE NA TUJALIANE.

Yangu ni hayo mwenye jicho la kuona ameona, na mwenye masikio amesikia na mwenye kusoma hapa ameshasoma na message sent.

Nawasilisha

Ladyf

 
eee hiivi jamani maisha ya mtandaoni yanawasumbua sana eee??thread yaovyo soma ipotezee.wanatukana achana nao maisha yanakwenda bibie.Relax bibie bana afu kama mengine yanagonga ikulu kudeal na mijitu mizima inayosimamisha tena online ni ngumu jamani.
 
Hao wakaka binafsi nawatafsiri kua ni watu wasio na kazi za kufanya, wanakurupuka bila kuwaza waongee nini tena wengine hudiriki hata kutumia kauli mbovu zisizo na kichwa wala miguu utadhani wamelazimishwa kujibu ama kutoa mada.
Mada zimekua ni wanawake tu, wake up you men, you are wasting your time kupiga madomo na majungu yasiokua na maana.
Huu mjengo ni kwaajili ya ushauri wa kimaendeleo mambo ya majungu kapige na mkeo.
 
ni kweli besti kwani jana niliweka uzi huu hapa si wakaumuvuzisha sielewi kwanini walifanya hivyo mamods
Hao wakaka binafsi nawatafsiri kua ni watu wasio na kazi za kufanya, wanakurupuka bila kuwaza waongee nini tena wengine hudiriki hata kutumia kauli mbovu zisizo na kichwa wala miguu utadhani wamelazimishwa kujibu ama kutoa mada.
Mada zimekua ni wanawake tu, wake up you men, you are wasting your time kupiga madomo na majungu yasiokua na maana.
Huu mjengo ni kwaajili ya ushauri wa kimaendeleo mambo ya majungu kapige na mkeo.
 
Tulishaambiwa tuwachukulie tuu, kwa ni stress za uchumi zimewabana. Hata Mimi nawaona huku mitaani kweli wanakula kwa JASHO haswa!! Wanatia huruma kwa kweli. wengine unawaona wanavocheza na miguu yetu na Kucha salon. huku siye tumenyoosha miguu biz na iPads, rav 4 imepack pembeni almost 3 to 4 hrs inakusubiri.
Inatia Joto Hasira!!!! Tuwasamehe bureee
 
eee hiivi jamani maisha ya mtandaoni yanawasumbua sana eee??thread yaovyo soma ipotezee.wanatukana achana nao maisha yanakwenda bibie.Relax bibie bana afu kama mengine yanagonga ikulu kudeal na mijitu mizima inayosimamisha tena online ni ngumu jamani.
amu unazidi tu kunikosha roho!!
 
samahani kama nitawakwaza wanawake wenzangu
lakini,threads za kulalamikia tabia za hawa wenzetu zimekua nyingi mno
kama ni watu wanaosikia,kuelewa na kujirekebisha watajirekebisha tu
tusihangaike na maneno yao
lets move on jamannnnnnnnnnnnnnnnnnnnniiiiiiiiiiiiiiiiii
forgive n forget
 
Majanga.....ila wanaume tunatofautiana si unajua kuna hata wale wakitemana na mtu wake full kupakaza mbovu wakati wengine kwao si issue na mnabaki just friends? Mambo ya kuandika bila kutafakari inagusaje hisia za watu ndo yamechafua hali ya hewa kwa kiasi kikubwa...mfano ile post ya 'kila mwanamke anajiuza' imeniacha hoi kujua maana halisi ya maneno yale japo mtoa mada anatetea alichokiandika....mtu mwenye akili timamu huwezi andika vile na ukaendelea kutetea, frustrations za mahusiano yake labda zilimfikisha hapo si bure...there must be a storry behind his post inayomuhusu
 
Kweli kabisa cha muhimu ni kuwapotezea!!!!!!
wakianzisha thread ya matusi mwanamke hakuna kulumbana ukibanwa sana unaachikia kicheko.......
Wakikosa comment kwenye thread zao wataacha!!!!!!!!!
 
habarini marafiki

Hata nashindwa nianzie wapi jinsi hili jukwaa lililovyoharibiwa
na kuvurugwa, kisha kupondwapondwa kwa watu wachache
wenye kutaka kujitafutia umaarufu wa kijiefu humu mjengoni

Imenibidi nisema japo kwa kuhemahema kwani nimeborekaje?
yaani mpaka tunaona twende kuamba ngoma, kule siasani
kwa ajili ya kuvunjwa kwa miiko / mila na tamaduni za MMU
kinachoniudhi zaidi ni hawa MAKAKA, WANAUME, wasivyo na
haya kazi yao kubwa humu ni kusema hovyo utafikiri wametiwa
MORTA kwenye midomo yao kuwasema WANAWAKE SANA
tumewakoseani mpaka mnajisasambua kama KARANGA kwa
kuandika mambo ambayo mnatudhalilisha na kutuboa sisisi

Kwani hayako mambo mazuri ambayo yapasa kusifiwa na kuandikwa
humu mjengoni? kazi yenu kuzungumzia mambo ya kijinga yasiyofaa
na kusema DADA zetu jirekebisheni hivi mara vile yaani kero sana
Na wengine wanathubutu kuandika WANAWAKE wa KABILA fulani
bwana hawapaswi kuolewa? hiyo yote ya nini MKAKA huna jipya
la kuongea mpaka utaje kabila sijui nini vile; mmeniboa ndo maana
nimeona niweke uzi huu kuwasema kwa tabia hiyo siyo njema, kwani
watanzania tunapendana na tunajaliana na kuheshimiana punguzeni
mafitiniti hayo hayampendezi Mungu kabisa TUPENDANE NA TUJALIANE

Yangu ni hayo mwenye jicho la kuona ameona, na mwenye masikio
amesikia na mwenye kusoma hapa ameshasoma na message sent


Nawasilisha


Ladyf



aisee, i dont believe kwamba kuna watu bado mpo too emotional to this extent. This is not healthy at all my dear

yani hata watu ambao huwajui wanakuumiza kiasi hichi.

yani mimi hata mtu ninayemjua akinitukana live wala siumii sana sana tutapeana makuvu live then siku inapita.

pole mwaya, ndo ukubwa huo
 
samahani kama nitawakwaza wanawake wenzangu
lakini,threads za kulalamikia tabia za hawa wenzetu zimekua nyingi mno
kama ni watu wanaosikia,kuelewa na kujirekebisha watajirekebisha tu
tusihangaike na maneno yao
lets move on jamannnnnnnnnnnnnnnnnnnnniiiiiiiiiiiiiiiiii
forgive n forget


forgive who exactly? and for what wrong exactly?

and where should we move on to?
 
Tulishaambiwa tuwachukulie tuu, kwa ni stress za uchumi zimewabana. Hata Mimi nawaona huku mitaani kweli wanakula kwa JASHO haswa!! Wanatia huruma kwa kweli. wengine unawaona wanavocheza na miguu yetu na Kucha salon. huku siye tumenyoosha miguu biz na iPads, rav 4 imepack pembeni almost 3 to 4 hrs inakusubiri.
Inatia Joto Hasira!!!! Tuwasamehe bureee

kwani wametukosea nini jamani?
 
Hao wakaka binafsi nawatafsiri kua ni watu wasio na kazi za kufanya, wanakurupuka bila kuwaza waongee nini tena wengine hudiriki hata kutumia kauli mbovu zisizo na kichwa wala miguu utadhani wamelazimishwa kujibu ama kutoa mada.
Mada zimekua ni wanawake tu, wake up you men, you are wasting your time kupiga madomo na majungu yasiokua na maana.
Huu mjengo ni kwaajili ya ushauri wa kimaendeleo mambo ya majungu kapige na mkeo.


mh wadada mnaumiaje!

mie mwenzenu napenda sana hizo mada zao za kizushi maana zinanifanya nichekeee hadi niongeze siku.

jamani kina kaka leteni mada za kuponda wanawake, ndo nzuri zaidi.
 
Tatizo hao wanaowasema wanawake kila siku kwa mabaya hawana kingine cha kupost kazi yao ni lawama 2. Umaskini wa kufikiri ndio chanzo they can not think of something else better to say.

pole maskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom