SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 95
- 61
Habar za wakat huu wanajukwaa? Mimi kuna jambo linatiza kdogo.. Ilikua mwez wa 7 mwaka huu ambapo nilikua nafanya mafunzo yang kwa vtendo maeneo flan huko irnga! Ila pale kulikua na madam mmoja ambae pia n mfanyakaz wa kuajiriwa na ana familia pia japo haish na mumewe kwa sabab za kikaz! Alikua ni rafk ang mkubwa sana na tulibadilishana mawazo kama vjana japo kanizd miaka kadhaa lakn hatukuathiriwa na tofaut ya miaka. Urafik wetu ulistaw up to the maximum kias kwamba tukawa kama boyfrnd n girlfrnd! Lakn kitu kmoja kilnifanya nimuheshm n kwamba niliheshm ndoa yake na kuitunza heshma ya mtoto wa kiume kam mm pia! Japo najua kuna wakat hakupenda ila kwa vle i'm a man of prncples ckutilia maanan coz kuna madem weng sana walio single! Lakn cha kushangaza nligtndua binadam mara nying tunaish nje ya njia tulzozipanga! Nligundua kua licha ya kua na ndoa lakn bado alikua anadate na mchiz flan out! Lakn haya yote n kwamba mumewe hakuepo! Swal je, kama mwanaume yuko bze na kaz n ruksa kwa mwanamke kudate na mtu mwngne?