usijaribu kufanya hivi kama huna mpenzi pembeni?

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
usinywe konyagi kisha ukatafuna kitunguu swaumu, uwe mwanamke au mwanaume utapata tabu inakupandisha mara 100%. anayebisha shauri yake yakimkuta mimi simo.
 
Unachokitafuta ni nini hapo mdogo wangu.....
 
Kwa hiyo ww umewahi kufanya hivyo eenh, sasa utlikuwa wtaka nini haswaaaaaaaa!
Ukistaajabu ya M23 utayaona ya Al-shabab
 
usinywe konyagi kisha ukatafuna kitunguu swaumu, uwe mwanamke au mwanaume utapata tabu inakupandisha mara 100%. anayebisha shauri yake yakimkuta mimi simo.

Kitunguu swaumu kina harufu mbaya sana! nani atakuvumilia. Na taabu yote hiyo ya nini jamani? Ehhh! wanadamu na dunia hii!
 
usinywe konyagi kisha ukatafuna kitunguu swaumu, uwe mwanamke au mwanaume utapata tabu inakupandisha mara 100%. anayebisha shauri yake yakimkuta mimi simo.

usijaribu kuangalia pono kama huna totoz pembeni, kitachofuata ni nyeto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom