Zawadi ya box la condoms

Zawadi ya box la condoms

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
5,687
Reaction score
5,301
Habari zenu wana JF,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe zawadi ya box la condom na rafiki wa kiume urafiki wa kawaida i mean hakuna cha bf/gf kati yenu,wewe ungeichukuliaje zawadi iyo,i need your thouts plz
 
Ameona wewe ni mjasiriamali, so anataka utumie kwa umakini hizo resourses zako

habari zenu wana jf,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe zawadi ya box la condom na rafiki wa kiume urafiki wa kawaida i mean hakuna cha bf/gf kati yenu,wewe ungeichukuliaje zawadi iyo,i need your thouts plz
 
Kama ni Rafiki wa kawaida nitachukulia kuwa ananijali..
Ila kama ni mpenzi ningechukulia kama ananiona Kicheche..
 
Kama ni Rafiki wa kawaida nitachukulia kuwa ananijali..
Ila kama ni mpenzi ningechukulia kama ananiona Kicheche..

kwaio mpenzi hawezi kukujali kama alivyofanya rafik?
 
Me nishawahi kupewa box zima na mtu ambaye tunaheshimiana sana nilishangaa kweli
Lkn nilipokea baadae na me nilizigawa kwa wengine
 
wakati mwingine wengine ambao ni domo zege hushindwa kuongea na mwishowe hutumia vitendo. mojawapo ni hiyo ya kutoa zawadi kama hiyo
 
Habari zenu wana JF,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe zawadi ya box la condom na rafiki wa kiume urafiki wa kawaida i mean hakuna cha bf/gf kati yenu,wewe ungeichukuliaje zawadi iyo,i need your thouts plz

kama ni wahudumu wa afya sioni tatizo.........
 
Back
Top Bottom