Kufanya kazi sehemu moja au kuzungumza na mwanamke mwenye mvuto kunaweza kumfanya mwanaume apoteze
umakini wake, hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Jarida la New Study.
Wanaume...
Wana JF, kwa utafiti kidogo niliofanya, nimegundua kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawawaridhishi mademu wao.
Mwanaume akishaingia uwanjani lile jote humfanya akapiga bao mapema.
Mwanamke...
kwasababu wanaume wengi hawapendi kuwa chini cku ikitokea wametoka then ghafla mkajickia kusex then biti akamwabia mpz wake twende mm nitalipa mwanaume atamwambia hapana ckunyingine,kwann ipo ivyo...
Asalaam aleykum,Bwana Yesu asifiwe,na kwa wapagani Mambo.?
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Yeah,well,yes,yes,mmmhh,yeah!yes,samahani kwa kukupotezeeni time kusoma uzi wangu huu abadani.Mpenzi wangu...
Hili ndo jicho langu kwa mwanamke. Wana JF akina mama, ni mama zetu,ni shangazi zetu, ni bibi zetu, ni dada zetu, binfsi nawapenda nakuwaheshim, Nawaona kwa jicho la kupenda sana nafuu, mfano...
Nipo Geita,natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuish maisha ya ndoa! Sifa zangu nitamwelezea endapo atakuwa tayari na kunitafuta kwa nambari 0759947397.Ingependeza zaidi naye awe maeneo ya...
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na...
Vijana milioni 2.6 wenye umri wa miaka kati 15 na 24 nchini, wanaishi na virusi vya Ukimwi. Takwimu hizo zilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu...
Awe social mwenye uchangamfu wa kuburudisha roho yangu,elimu,kabila,utaifa na dini yoyote ile,umri kuanzia 18,kama anakunywa pombe asiwe mlevi wa kukesha bar,na awe na kipato cha pesa kidogo.Mimi...
wadada napenda kuwashauri kutofanya mapenzi kabla ya ndoa kwa sababu zifuatazo kwanza ni dhambi mbele za mungu pili mwanaume anakudharau hata kukuacha itakuwa si shida kwake tatu watoto wako...
Nilikuwa na rafiki yangu mtaani ambaye tulikwenda shule ya msingi pamoja, japokuwa baada ya kumaliza elimu ya msingi hakuweza kuendelea na masomo zaidi lakini tuliendelea kuwa washikaji,ikatokea...
Mrembo huyo dah wachina wametuletea hii dawa sasa wengine ndo inakuwa too much wengine inawapenda na kuwavutia wengine ndo hivyo anajaa kalio moja na jingine linakuwa la kawaida.
Yote hii...
Habari za weekend wana mmu.poleni na majukumu mazito ya kifamilia na taifa.leo ningependa tuelemishane na ku share experience hususani ya maisha ya familia za ki afrika na ki magharibi.sio...
Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa...
Habari wadau! naitaji binti yeyote anayejisikia kutoka siku ya leo na hana kampani anipe kampani,naitaji kampani ya kike..if u feel like join me this satoo kufurahi sehemu yoyote nzuri basi...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzangu yale mambo ya kujazana upepo kichawani kwa wale wana pure mathematics wanaita EMPTY SET ama NULL SET kwa mwanamke...
Imekuwa kitu cha kawaida kwa wanaume wenye 'mambo mengi'kuonekana wa kawaida pale wanapobadilisha wanawake kana kwamba ni fahari kuwa na mabibi wengi.
Kwa utafiti wangu wa ki-OBSERVATION kutoka...
**Are u among these girls who want to be married by rich people?
**How often do u expose ur daughter to rich people who are lostful of women
**You rich people how often Do you go for young...
Kila nnapojaribu kutafakari juu ya suala hili nashindwa kujiridhisha kwa nikiwazacho.mwanaume huyu anatakiwa kuitwa jina gani!kwani haya majina naona yapo kwa kina dada tu,au nae ni kahaba pia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.