Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,525
- 2,802
Habari za weekend wana mmu.poleni na majukumu mazito ya kifamilia na taifa.leo ningependa tuelemishane na ku share experience hususani ya maisha ya familia za ki afrika na ki magharibi.sio official research ila nikupitia mitazamo ya wadau mbalimbali.kuna msemo unasema charity begins at home.Familia nyingi za ki afrika zimekuwa zikipuuzia au kutotilia maanani malezi na ukuaji wa watoto.aidha utaratibu wa maisha ya kila siku ya familia za ki afrika umekuwa sio wa kuwajenga watoto kujiamini.tumekuwa tukilalamika sana pale tunapopata viongozi wabovu au watu wenye tabia za hovyo tunasahau kujiuliza huko walikokuwa ilikuwaje let say mtoto anatoka familia ambayo ina ma ugomvi bakuli inawekewa wali sahani kule bakuli hapa chumbani nguo ya ndani pale yaani vurugu tu then huyo mtu anakuja kupewa office tunategemea nini.tunaweza jifunza kwa wahindi wanafanya kazi ki familia wanajua pesa yote inatokea wapi na hii inawafanya watoto kuwa active na kuwa wawajibikaji tofauti na sisi weka house girl atafua hadi nguo ya ndani ya mtoto wako.hivi akija kuajiliwa mtu wa namna hii si ndo kazini kuingia saa 10 asubuhi kutoka saa2.ninafurahi ndugu zetu wanyarwanda wameligundua hilo na wameanzq na mageuzi makubwa kuanzia familia.suala la usafi wa familia na kukaguliwa na ma bwana afya sio mchezo na no fedheha familia yako ikiongoza kwa uchafu sijui wizara ya ustawi wa jamii inatambua ina nafasi kiasi gani katika maendeleo ya taifa hili kuliko hata wizara nyengine.ndugu zangu naomba na nyie mtupie uzoefu wenu kwanini wenzetu ni bora kuliko sisi.najua yapo mengi zaidi ya hayo niliyoyataja