Username yako inaonyesha kabisa!! mimi, mwanamke ambaye wazo lake kichwani ni hela kutoka kwa mwanaume sioi, kama hawapo duniani basi, kwani nani alisema lazima kuoa. Ka vipi namtumikia Mungu tu maisha yote wanawake kando.. mambo gani, kila siku ohh mnataka haki sawa na wanaume, siku mkiacha hizo kelele hela tutawapa, afu binti mjanja haombi hela, anapewa bila kuomba, na huyo ndiyo mwanaume anajali, ila sio cha dezo sasa! fanyeni kazi la c hivo mtabaki kuumia daily, hamuwaoni akina Oprah Winfrey au tusiende mbali hapa Nigeria tu Folorunsho ambaye hata oprah hafiki ndani.. yule ndiyo mwanamke sasa, hakuna wa kumchuna mwenzake sio baba sio mama, kila mtu anahela zake hatusumbuani...kwa mwanaume si sawa, ila kwa mwanamke ni sawa kabisa......... money money
In the Definition of Most Women, LOVE = CASH or SEX = CASH?. Is it the same thing to Men?
![]()
![]()
Em nipe sababu kuu mbili za kwa nini mwanaume ni wa kumgharamikia mwanamke ambaye hata si mke wala mchumba, just ndio kwanza wako kwenye steps za kwanza in a relationshipkila kitu kina gharama zake ,
Username yako inaonyesha kabisa!! mimi, mwanamke ambaye wazo lake kichwani ni hela kutoka kwa mwanaume sioi, kama hawapo duniani basi, kwani nani alisema lazima kuoa. Ka vipi namtumikia Mungu tu maisha yote wanawake kando.. mambo gani, kila siku ohh mnataka haki sawa na wanaume, siku mkiacha hizo kelele hela tutawapa, afu binti mjanja haombi hela, anapewa bila kuomba, na huyo ndiyo mwanaume anajali, ila sio cha dezo sasa! fanyeni kazi la c hivo mtabaki kuumia daily, hamuwaoni akina Oprah Winfrey au tusiende mbali hapa Nigeria tu Folorunsho ambaye hata oprah hafiki ndani.. yule ndiyo mwanamke sasa, hakuna wa kumchuna mwenzake sio baba sio mama, kila mtu anahela zake hatusumbuani...
Am proud of my mother alinifundisha kuwa independent nimeshadate na wanaume ila sjawahi kumuomba mwanaume hata credit napenda anayejiongeza mwenyewe cz I don't have to put my life in bended knees for your money, sina kitu ila nna kiburi siombagi mwanaume hela no matter what! Na hata kama ukinipa nipe but not after sex because kwangu inasound kama unaninunua...... ila wanaume sjui mkoje maana wote nliokuwa nao huwa wanalalamika nna kiburi kwasababu siwaambii wanipe hela na mkiombwa mnalalamika manataka nini sasa!!!!
Sikatai kugharamikia mwanamke, ila inategemea na situations zenyewe, mabinti bongo siku hizi wanataka gari, nyumba, uwalipie elimu, kila kitu... ahh bna, hata kama nina pesa binti wa hivi kuna upendo kweli hapa? mwisho wa siku tamaa izidi akuue ili achukue mali, au hujui siku hizi madada wengine huoa watu ili baada ya muda mfupi visa vianze waachane wagawane mali?? sasa mwanaume unakomaa kujenga fortune afu mwisho wa siku mnagawana kijingajinga ati upendo huletwa na hela, hahaha!! upendo hauletwi na hela kama mtu yuko tyr kuoa afu muachane mgawane.. Binti anayependa kweli mbona kumpa hela ntampa tu, ni wa kwangu lazima nimsafishe akitembea wajue kua flani bna ana kitu safi, ila kama upendo wa hela, ukimpendezesha wakishamuona wakifata tayari anaenda kupigwa mishe kule, mwanaume unakaa ohh na hela ananipenda, kumbe mchongo unapigwa pembeniNakuona una joto hasira, punguza mkuu utaumia,
ukweli ni kamba hawa viumbe waliletwa duniani kwa ajili yenu, hivyo utake usitake pesa utatoa tu kwa namna yoyote ile
Em nipe sababu kuu mbili za kwa nini mwanaume ni wa kumgharamikia mwanamke ambaye hata si mke wala mchumba, just ndio kwanza wako kwenye steps za kwanza in a relationship