kwa mwamke,kumsaidia mpezi wako malipo ya gesti ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa mwamke,kumsaidia mpezi wako malipo ya gesti ni sawa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, May 27, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwasababu wanaume wengi hawapendi kuwa chini cku ikitokea wametoka then ghafla mkajickia kusex then biti akamwabia mpz wake twende mm nitalipa mwanaume atamwambia hapana ckunyingine,kwann ipo ivyo bt kama mvulana akimwambia mpz wake waonane then akajibiwa awez anadhalula atamwambia ushakutana na mwanaume mingine ndio mana utaki,kwann iwe lawama kwa mabinti?
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni sawa, love is sharing! nakereka sana na wanaume wanaojitia wanazweza kila kitu, wakati ukiachana naye naakimbilia kwa mama ntilie na roho inamuuma! Utawasikia wanasema kando kuwa wanawake ni ma parasite, wakati wakipewa nafasi wenyewe wanajishauwa!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hapana sio sawa, inakua kama vile analipia kisu kitakachomchinja. Hii stori inanikumbusha safari ya yesu galilaya, jamaa alikwenda 100% akijua itakula kwake. So kinadada msikubali kulipia guest fungu toka mikobani mwenu!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nipo tayari alipie vyote tu na bia na nyama choma yaaani kila kitu ni sawa tu :biggrin1:
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hivi huko gesti watoto wa kike wanaenda kuchinjwa au kuchinjana? hata kama wanaenda kuchinjwa kuna mtu kawashikia binduki kichwani? Si wanapeleka viranga vyao kwa khiyari yao wenyewe? hebu tuvunje ukimya hapa.
   
 6. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu wanadanganyika kirahiiiiiisii.......

   
 7. semango

  semango JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yote kheri tena kama bibie anajiweza huwa inaleta raha akilipa yeye maana inaonesha kweli yuko tayari
   
 8. quty m

  quty m Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  twenty2,m naon n saw cz wt mnakuw mnasaidian ktk shid n rah s kam y boy han hel n www unamuhidaj freshhhh ukalip ki2 ch lodge nn alaf mpang mzim......................
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wanaenda kuchinjwa, nitumie lugha gani nieleweke? Mwenyenu naogopa BAN!
   
 10. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,461
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Tatizo wengi wetu tunapenda kujifanya tunazo licha sometimes mambo yanabana, kama mwenzio yupo fresh acha alipie tu
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni sawa kabisa tena inapendeza demu akilipa mwanaume stress zinakwisha unakuwa na jukumu moja lakutoa dozi
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Wote si wanaenda kuridhishana, sasa inakuwaje uonyeshe kana kwamba mmoja anaenda kuumizwa (kuchinjwa)!!!! Na huenda Mdada anafaidi kuliko Mkaka.
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wakuu, tafiti mbalimbali za mapenzi zinaonyesha kuwa 95% ya starehe chumbani huondoka nayo mwanamke, mwanaume faraja yake ni cares, prestige na status apatayo kwa kumchukua binti fulan, tena hii huwa ni nje ya chumba. Thats why mwanaume huingia gharama kumpamba mke/girlfriend wake aendee kutamba! Mpo hapo?
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh Gagurito hiyo level of satisfaction mmeimeasure vipi maana kama ni cares, prestige na status wote si wanapata? Na isitoshe hiyo 95% imemeshwa kwa kuangalia variable gani?? msuguano tu au kufika?
   
 15. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aiseee inaonekana ww unapenda kupewa sana au unaongwa?inaonekana ww n msaliti sana kwa mpz wako
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh sina hakika na hili, ila alipe asilipe yote si sawa tu? mabinti na nyie mnapenda gharama???? mwache alipe ujishaue ulipe akiendaa na wenzako analipa tu
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  men, if you are not careful, hata kwenye familia zenu mtajifanya vidume na kukataa misaada ywa wake zenu kwenye kutunza familia and if you are not careful mkeo atasaidia ndugu zake na mwisho wake utasikia amejenga nyumba kwako, roho ikutoke!

  Wanaume acheni hizo prestige zisizo na maana, emtu anapata mwanamke wa kukusaidia, unajifanya kidume na unazo! Sharing costs does not downgrade your manhood, ebooo!
   
 18. LD

  LD JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi nahisi inategemea huo uhusiano wenu ni wa namna gani.
   
 19. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gesti uwa tunaenda kuchinjana sio kuchinjwa ww vp mgeni kwenye mapenzi nn?
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Guest tunakwenda kama wageni na sio kuchinjana, eboooo. si utapata murder case
   
Loading...