Kwa nini wakati wa kufanya mapenzi mwanaume huwahi kupiga bao kabla mwanamke hajaridhika?

msemakweli10

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
229
46
Wana JF, kwa utafiti kidogo niliofanya, nimegundua kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawawaridhishi mademu wao.

Mwanaume akishaingia uwanjani lile jote humfanya akapiga bao mapema.

Mwanamke kawaida huchukua muda kupandisha mikiki. Sasa swali, ili tuwaridhishe hawa mademu nini cha kufanya kwanza?
 
Piga maandalizi ya kutosha kka, af ukiwa katika game siyo unajilegeza tu kaza mashine na ujizuie kwa kujitoa kimawazo ili uchelewe kidogo kufikia end point!

point ya kwanza hiyoooo,enheee mwingineee????nani anaweza kuongezea point ya 2 anyooshe mkono,we nyoosha usione aibu
 
mlainishe kwanza ,,,,jarib kujizuia hata pale unapohisi kutoa mamboz badili style ili uanze moja
 
Wana JF, kwa utafiti kidogo niliofanya, nimegundua kwamba asilimia kubwa ya wanaume hawawaridhishi mademu wao.

Mwanaume akishaingia uwanjani lile jote humfanya akapiga bao mapema.

Mwanamke kawaida huchukua muda kupandisha mikiki. Sasa swali, ili tuwaridhishe hawa mademu nini cha kufanya kwanza?

Umefanya utafiti wapi mkuu? au umeskia watu wakisema? maana ya utafiti |research| ni kufanyia kazi kitu ambacho utakuja na findings zako mwenyewe, HIYO IPO CLEAR WAMESHASEMA WENGI, Credit the source please, otherwise, this is plagiarism.
 
Ungekua umeoa ningekusidia jins ya kumridhisha mkeo...ila kama ni demu subiri vijana wenzio wakupe maarifa....ukimwi unaua usisahau condom
 
longolongo tu. kakaa kafikiria aandike finding yake JF without thinking of it
 
Back
Top Bottom