Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,937
Reaction score
2,168
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25
 
umempa mimba kakuvumilia mpaka mahari unayotakiwa utoe anakusaidia,una kibanda hata 30,000 huna ya barua ya uchumba na bado unaogopa kakibanda.
we hujielewi kweli
 
Ninayo ila nahisi kama vile anaharakisha tuoane wakati sijamsoma vizuri na mbaya zaidi yeyey anakaa wilayani nia mimi mkoani na ni mbali kwa hiyo nahisi niwe makini zaidi ili nimjue zaidi
 
umjue zaidi wakati ushammimba!!!

acha utoto, toa mahari uoe

hayo ni matokeo ya zinaa, usikimbie, kumbatia kama ulivyofanya mpaka ukamtia mimba

halafu huyo mdada ana hasara kweli.....hujielewi
 
Mbona ana speed saana.na yeye ndo anaonekana anapanga kila kitu wewe kazi yako ni kufuata. Pia anataka alipe karibu kila kitu. Huo msingi wa ndoa yenu kama ndo utaanza kwa namna hiyo kuna hatari hata huko mbele ukawa wewe ni kufuata upepo.ku implement japo ambalo amelipanga yeye.mbona amekuwa na haraka kama kagame uhuru na museven ktkt afrika mashariki. She is after something. Huwezi kusaidiwa kulipiwa mahari,barua ya kishika uchumba na mchumba wako bora ukakope hata kwa marafiki zako. Anyway you are not safe my brother. Decide your destiny. Bado nafac ya kurekebisha ipo mikononi mwako.
 
Mmmh..... Kama hauko tayari kwa hilo mweleze ajue..!

Iweje unakosa maamuzi binafsi wewe kama mwanaume?
 
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25

....signature yako haitii moyo kabisa! na haiendani na unachoomba shauri
 
Wapenda kusaidiwa weye loh!!!!
Usikute hata hiyo mimba umesaidiwa....
 
Hebu acha ujuha banaaa, chakarika peleka hicho kishika uchumba na muendelee na maandalizi ya ndoa.
 
Ameshakuzidi kete huyo, wew kuwa mpole si anajifanya ana haraka
 
Ninayo ila nahisi kama vile anaharakisha tuoane wakati sijamsoma vizuri na mbaya zaidi yeyey anakaa wilayani nia mimi mkoani na ni mbali kwa hiyo nahisi niwe makini zaidi ili nimjue zaidi

Wanaume nyie kiboko umeshampa mimba unasema bado unamsoma kazi anayo . Kwa nini msingetumia kinga mpaka um some.
 
acha ujinga, umempa mimba sasa unamuona hafai kakibanda ndo nini, kapange. tutolee utoto watu wanahonga gorofa ijekuwa kakibanda? unatuaibisha wanaume wenzio
 
Back
Top Bottom