Rafiki wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki wa kiume

Discussion in 'Love Connect' started by Smile, Jul 18, 2011.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160


  mimi ni mwanamke nina miaka 30 NIKO LONELY SANA JAMANI I WISH NIWE NA RAFIKI WA KUINJOY JAMANI.AWE SIRIAS JAMANI ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
  1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
  2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
  3-kushauriana mambo ya maisha
  4-asilieleze mambo ya kungonoka
  5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
  6-cost tutashare
  7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
  8-awe na akili ya maisha
  9-awe mstaarabu mpole


  10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
  11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
  12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
  thanx wana jf
  LEO NAFUNGA APPLICATION MAJIBU HAPAHAPA JF ASANTENI
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama ni rafiki tu mvuto wake unahusu vipi?!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  utapita nae barabarani vp na wewe lizy
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,714
  Likes Received: 8,265
  Trophy Points: 280
  Hahahah...ebu ngoja;
  1. jumamosi zote?
  2. poa
  3. poa
  4. hinatokeaga tu..so poa
  5. Mh!
  6. 50/50 ama? (kwa kuzingatia wewe ndo umetoa ratiba ya wiki na mwenendo mzima wa mahusiano)
  7. mtazamo huo tu
  8. poa
  9. poa
  10. Unajua Pale Chuo Kikuu UD, kuna Shule ya msingi Mlimani...kuwa specifi kiasi
  11. poa
  12. Mh! apo sahau...i gec u r looking for loosers!
  POLE and ALLL THE BEST!
   
 5. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mnh!!! sawa sawa mbeijing!!!!!
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  bebii,

  Utavunjwa sana moyo! Naona ndiyo kwanza unaanza kujua maana ya kuishi!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh....nice snappy comeback!! Mpaka Lizzy mwenyewe amenyala...lol
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kanifanya nifikirie....kumbe hata mimi ndo mana sina marafiki maana wanaogopa kupita na mimi barabarani.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe Lizzy Licious ukoje?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unamwambia atangulie hatua tano mbele.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sina mvuto....
   
 12. M

  MORIA JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa sifa hizo hapo juu nenda kanisani utampata...ila ushiriki mambo ya vijana kwaya nk..au fanya shughuli yoyote itakayo kufanya uonekane kwa urahisi na vijana...usiukaze uso wako saaana(cheza na kioo sana)...once u peak someone uwe unamwangalia mara kwa mara..lazima akutokee..
   
 13. E

  Edo JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kama hutajali fafanua hiyo na. 4! Vinginevyo kila la kheri kwa kuthubutu.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa nani?
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwani iyo pic sio yako? maana inaita...
   
 16. M

  MORIA JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mvuto unao..shida jinsi ya kuutumia
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kila ambae amewahi kuniona....hata siku moja sijawahi kusiwa.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Itika basi....
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhh embu naomba elimu kidogo...
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,597
  Trophy Points: 280
  Good luck :)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...