ROMBIANI
Member
- Oct 14, 2013
- 35
- 7
Habari zenu wana jamii wenzangu nafikiri ni wazima wa afya,
Mimi ni member mpya ila nilikuwa napenda kusoma sana matukio ya watu nikapenda nami nijiunge nanyi.
Nisiwachoshe mimi ni kijana wa umri kwanzia 23 kwenda mbele nilikuwa na mpenzi wangu tulipenda sana mfano hakuna huyo wangu mpenzi nilsoma nae shule moja kwanzia form one mpaka form four atujawahi kugombana ata siku moja wala kuleteana dharau na tuli dumu sana kwenye mapenzi ya furaha.
Sasa tulipo maliza shule yeye akaenda Dar ndio mambo yote yaka haribika mimi nikiwa mbali na yeye sasa nikizidiwa inanibidi nimfuate kwa sababu sikuwa na msichana yoyote zaidi yake huwa nikipenda sitaki kabisa kuchanganya wanawake.
Sasa kazi ikawa nikienda kukutana nae Dar ukiwa nae labda lodge simu kila saa anapigiwa tena za wanaume, mmh nikabaki najiuliza kunani tena au ukisikia Dar ndio mambo yenyewe haya nikimuuliza anasema oohoo wana nitaka nikaona isiwe tabu ngoja nile mzigo 2 ila penye mwisho patajulikana tu mwisho.
Nikamaliza mambo yangu nikarudi kwetu mkoani yeye nikamuacha na jiji ndio majanga yakaanza ukipiga simu utasikia ngoja kidogo mara siku nyingine anakuja kupiga simu ya beki tatu ananiambia simu imepotea kwa hiyo nitafute kwenye namba hii nikasema poa ngoja nione mwisho wake.
Sasa ukisema leo nikae kimya na yeye hivyo hivyo duu nikaona hapa sina changu nikimuuliza anasema ooh si wajua baby simu sina nikapotezea.
Kuna kipindi nikapata nafasi nikasema ngoja niende Dar nifanye suprize kumbe najifanyia suprize mwenyewe, nikafika Dar salama salimini kuna sehemu nilifikia.
Sasa nikaamua kupiga kwa beki tatu nikamwambia naomba kuongea na DADA yako alivyo niambia nilichoka mwili na roho kumbe amesafiri ameenda kutambulishwa kwa upande wa mume aliye mchagua yeye niliumia sana nikamwambia yule beki tatu wao akirudi mwambie nipo jijini.
Basi zikapita kama siku mbili akarudi akanipigia simu tukakuta home sasa nikagundua ukweli kumbe simu ajapoteza amebadilisha line ili awe na huyo mtu wake vizuri ukweli niliumia sana akaniambia amepata mtu mwingine na wazazi wake ndio wamesha kutana na wame kubaliana kwa hiyo ndio hivyo mi niliambiwa ni badilisha namba hili ni kusahau wewe nikamuuliza mapenzi yote yale kumbe nilikuwa na lima shamba ambalo hata uweke mbolea ya marekani hakuna kitu kingeota!!!
Hapa kiukweli nililia sana sikufiria kama angekuja kunibadilikia namna.
Sasa ninacho omba kwenu nataka kumfuta kichwani sasa njia ndio sina nimeishia kula ganja, pombe kulala na malaya.
Sina upendo na wanawake mi shida yangu ni kula na kusepa wakati kipindi cha nyuma sikuwa hivi, msichana amebadilisha maisha yangu tena sana yani amewekwa ndani kabisa na mume wake anajua namba yangu kama chupi yake na anajua kabisa kuwa nampenda sana huyo mwanamke ila amenizidi vyuma tu ila ipo siku tu nitapata mi mangi najua kutafuta.
Naombeni samahani kwa ujumbe mrefu, sitaki dharau tusaidiane mawazo sio maneno ya kejeli.